Search results

  1. M

    Enough is enough

    Je wajua kwa serikari ya Kikwete milioni mia saba(700 million) zimetumika kutengenezea matundu 8 ya choo cha shule ya msingi? Na ni jumla ya shilingi Bilion 3.2 zimetumika kwa mradi huo kwa manispaa ya Bagamoyo? Ni jimbo la Bgamoyo atokapo kikwete, Alafu wanasimama vifua mbele wakisema elimu...
  2. M

    Elections 2010 Kikwete anafanya kampeni au yuko kwenye ziara ya kikazi?

    Kwa kiasi fulani nimefuatilia ziara zinazoitwa za kampeni za Kikwete. Kinachonishangaza ni jinsi anavyotumia mamlaka yake kushawishi watanzania wampigie kura. Akiwa Bukoba aliagiza ununuzi wa meli. Kilosa ujenzi wa nyumba za waathirika wa mafuriko ambao alishawahi kwenda kuwaona lakini...
Back
Top Bottom