Search results

  1. L

    Msaada Jamani

    Kaka hii Toshiba Tecra M7 Tablet PC
  2. L

    Msaada Jamani

    Nikwamba Hii mashine ilifanyiwa formating, ila Drivers za Tablet PC ndiyo hakuna yani tuliweka WnXP na Drivers zote zimerudi kama za sound, wireless, kasoro hiyo Tablet PC Ndungu,
  3. L

    Msaada Jamani

    Nikwamba Hii mashine ilifanyiwa formating, ila Drivers za Tablet PC ndiyo hakuna yani tuliweka WnXP na Drivers zote zimerudi kama za sound, wireless, kasoro hiyo Tablet PC Ndungu,
  4. L

    Msaada Jamani

    Ndugu,Naombeni msaada wakulekebisha PC, hii PC ni Tablet PC ila haifanyikazi kama Tablet PC inavyotakiwa kufanya Kwa Mfano Kalamu yake haiandiki,screen uki rotating haibadiliki. naombeni msaada nifanyeje
  5. L

    Naombeni msaada school management system.

    Okey eliah Ila kama ulinifahamu nilikuwa naomba msaada wakutengeneza na pia kujuwa nitengeneze table ngapi na requirements ni matokeo ya mitihani ndiyo cha zaidi, ila nimeanza nitakutumia ili unipe msaada zaidi na kuifanyia malekebisho pale utakapoona. nashukuru kwamsaada wako. gud day bro
  6. L

    Naombeni msaada school management system.

    Thanks kaka ur gud teacher, ngoja nitegeneze nikutumie uicheck kama nitakuwa sawa. have a nice day kaka. thank
  7. L

    ATCL kuundwa upya; mchakato waanza - waziri Kawambwa

    nasikia kuna mchina kaja juzi anataka kuwekeza analeta ndege 15,ila mashaliti apwe mgodi, kwahiyo selikari wanatafuta mgodi wa kumpa. na atapewa kama Clinton kapewa mtwara na juzi kaja kaenda mpaka mtwara. Kipindi cha mwalimu haya ya kutoa migodi yayakuwepo watauzakila kona ya nchi.
  8. L

    Naombeni msaada school management system.

    Sawa Bro, hapo nimekupata sawsawa, kweri swali lilikuwa ambiguity. sasa mimi nilikuwa nimeandaa table nne 1Class, 2Student, 3Teachers, 4Employee, Riport ninayotaka itowe ni kwa mfano students itowe riport ya mitihani,nk yani full doc za muhimukwa mwanafunzi.
  9. L

    Naombeni msaada school management system.

    kaka nashukuru sana kwa ushauli wako,tena naona utanisaidia sana Programing language natumia VB6
  10. L

    Naombeni msaada school management system.

    ndiyo maana nimeomba msaada wa maelekezo kaka,
  11. L

    Naombeni msaada school management system.

    Wazee,habari Naombeni mnipe msaada wakunisaidia kutengeneza system ya shule kwani nimepewa assignment chuo nakazi inakuwa ngumu sasa. Ni simple Databese tu ndiyo inayotakiwa. kama mtakuwa nayo attach katika mail hii lutagwabajohn@yahoo.com
Back
Top Bottom