Hapa kuna wataalam wengi, nina imani ukieleza vizuri mgonjwa na ugonjwa utapata solution, kwa mfano ni brand gani, ina OS gani.............Ndugu,Naombeni msaada wakulekebisha PC, hii PC ni Tablet PC ila haifanyikazi kama Tablet PC inavyotakiwa kufanya Kwa Mfano Kalamu yake haiandiki,screen uki rotating haibadiliki. naombeni msaada nifanyeje
Nikwamba Hii mashine ilifanyiwa formating, ila Drivers za Tablet PC ndiyo hakuna yani tuliweka WnXP na Drivers zote zimerudi kama za sound, wireless, kasoro hiyo Tablet PC Ndungu,
Weka brand ya hiyo PC, yaani DELL, TOSHIBA, ASUS..........na model yake (au inawezekana inaitwa Tablet PC tu!!!! labda mm ndy skusomi) hiyo itasaidia mtu akupe link, au unaweza kuingia kwenye website ya huyo maker, au hata jaribu ku-google.
Ndugu,Naombeni msaada wakulekebisha PC, hii PC ni Tablet PC ila haifanyikazi kama Tablet PC inavyotakiwa kufanya Kwa Mfano Kalamu yake haiandiki,screen uki rotating haibadiliki. naombeni msaada nifanyeje