Search results

  1. M

    Msaada wa mawazo

    Sio fundi, Ni 'FUND' yaani pesa ya kuwekeza mahali pale na kuirudisha kwa aliyetoa kwa makubaliano fulani.
  2. M

    Naomba msaada wa mawazo

    Nina wazo la kuanzisha shule ya sekondary, nimeshajenga darasa moja tu, kwa sasa chekechea wanasomea asubuhi, na jioni pre-form tution. Je nitapateje fund kwa ajili kujengea madarasa 7 mengine, uwanja ni heka 4 upo Mwanambaya karibu na Mkuranga. Wanajamii nifanyeje niweze kuwekeza kwa kutumia...
  3. M

    Msaada wa mawazo

    Nina wazo la kuanzisha shule ya sekondary, nimeshajenga darasa moja tu, kwa sasa chekechea wanasomea asubuhi, na jioni pre-form tution. Je nitapateje fund kwa ajili kujengea madarasa 7 mengine, uwanja ni heka 4 upo Mwanambaya karibu na Mkuranga.
  4. M

    Msaada: Jina zuri la shule

    Chagua na changanya herufi za majina ya mama, baba, wewe, mke na watoto. Je shule ni ya familia? Ili niweze kukushauri zaidi.
Back
Top Bottom