Search results

  1. Samson Ernest

    Wanafunzi Saba wahofiwa kupoteza Maisha baada ya School Bus kuanguka kwenye korongo (Sinoni, Arusha)

    Poleni sana wazazi na walimu kupoteza watoto, madereva wanapaswa kuwa makini.
  2. Samson Ernest

    Je, umewahi kupatwa na hali hii au unapitia kwenye hali hii?

    Hali hii ya mgandamizo, yaani unakuwa mzito, wasiwasi mwingi, maswali mengi, unajiuliza hivi nikiondolewa hapa nitaenda wapi? Mtu anafanya kazi mahali fulani ila haoni kabisa kitu kingine cha kufanya kwenye maisha yake isipokuwa hiyo kazi anayoifanya. Nikiwa na maana ofisi aliopo, haoni kitu...
  3. Samson Ernest

    Je Una Changamoto Ya Kusoma Biblia Kila Siku Au Ukisoma Huelewi? Suluhisho Limepatikana.

    Moja ya kitu ambacho hupaswi kukiruhusu ni siku yako kupita bila kusoma biblia yako na kutafakari. Tumekuandalia kundi zuri la wasap la kusoma biblia kila siku na kutafakari, sio hivyo tu, unapata ufafanuzi au uchambuzi wa sura moja ya biblia kila siku. Hii inakusaidia kuelewa kwa usahihi kile...
  4. Samson Ernest

    Alifanya kazi saiti kwa pesa yake, sasa simu haipokelewi na bosi haonekani

    Yeye hawezi kumfanya chochote ila Mungu analo la kumfanya lolote
  5. Samson Ernest

    Alifanya kazi saiti kwa pesa yake, sasa simu haipokelewi na bosi haonekani

    Haki ya mtu haipotei, atulie na amwamini Mungu atampigania, Mungu anaweza kumsaidia, aache kuwaza waganga wa kienyeji.
  6. Samson Ernest

    Fadhila zisipotoshe mila, utamaduni na desturi za Kiafrika

    Maisha ya Sasa kuna vitu ukifanya kwa usiri utaonekana umekula au umeiba, Wakati mwingine watu waliotoa misaada yao wanahitaji kuona imewafikia walengwa. Tusiwalaumu sana wanaopigwa picha na kueleza hadharani.
  7. Samson Ernest

    Nguvu za kumfanya mtoto wako awe mtu bora zipo kwako

    Asante sana kwa elimu hii ya malezi ya mtoto
  8. Samson Ernest

    Masikini sio mtu wa kumuonea huruma leo ndio nimejifunza zaidi

    Changamoto ni kwamba hakuna mbingu/pepo ya matajiri peke yake na maskini peke yake.
  9. Samson Ernest

    Tabia Ya Kudhulumu Vibarua Au Maskini Wanaofanya Kazi Haiwezi Kumwacha Mtu Salama

    Kum‬ ‭24:14‭-‬15‬ ‭SUV‬‬ [14] Usimwonee mtumishi mwenye ujira aliye maskini na uhitaji, kama ni wa nduguzo, au kama ni wageni wako mmojawapo walio katika nchi yako, ndani ya malango yako; [15] mpe ujira wake kwa siku yake, wala jua lisichwe juu yake; kwa maana ni maskini, moyo wake umeutumainia...
  10. Samson Ernest

    Walokole, tuache kujitenga na wenye dhambi

    Tunapaswa kuwa makini sana katika eneo hili, kuna watu badala uwabadilishe wewe ili wamwamini Kristo, wanakubadilisha wewe uliyekuwa umeamini na kuishi maisha yanayompendeza Mungu. Kujenga Mahusiano mazuri na wale ambao hawajamwamini Kristo ni vizuri sana, ila tunapaswa kuwa makini sana.
  11. Samson Ernest

    Usiipende rushwa hupofusha macho ya watu wenye akili

    ‭‭Kum‬ ‭16:19‬ ‭SUV‬‬ [19] Usipotoe maamuzi; wala usipendelee uso wa mtu; wala usitwae rushwa; kwa kuwa rushwa hupofusha macho ya wenye akili, na kugeuza daawa ya wenye haki. Agizo hili la kukatazwa kupokea rushwa walipewa maakida na waamuzi wa Israeli, waliagizwa wasipokee rushwa, maana rushwa...
  12. Samson Ernest

    Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

    Bila sababu yeyote unakutwa na kuanza kupigwa makofi?
  13. Samson Ernest

    Acha tabia ya kuahidi watu vitu ambavyo hutavitekeleza

    Mbona haina haja kudanganya, bora usimwambie. Pia ninachosema hapa ni Ile mtu kuahidi vitu vya uongo huku akijua hataweza kutimiza hizo ahadi.
Back
Top Bottom