Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 3,498
- 18,123
Huu unyonge ndiyo unakufanya unapigwa.Kwahiyo hizo Ni kazi za hovyo? Acha dharau mkuu. Kama Mungu alikujaalia kusoma na kupata kipato cha juu usidharau hustles za wengine.
Sijasema kazi za hovyo, bali nimekuita wewe ndiye kijana wa hovyo. Unambeba mtu, alafu badala ya kukulipa haki (nauli) yako anakulipa kichura chura.
Na wewe kinyonge unaondoka kisha unakuja mtandaoni kuwatia wengine uoga? Hapana aisee!
Acha kutia huruma. Pambana mdogo wangu.
Alafu usiseme Mungu kanijalia. Nimeweka juhudi, alafu Mungu akanijazilishia. Sijawahi Daktari kwa bahati mbaya au kwa huruma.