Search results

  1. T

    Vodacom Tanzania MD Rene Meza resigns over $350 million scandal

    Nina mshikaji wangu yuko ofisi za Voda pale Mlimani City kaniambia jamaa kweli ameachia ngazi jana
  2. T

    Membe: Sitagombea Ubunge 2015... Ataka CCM ijisafishe kuelekea uchaguzi 2015

    It's obvious huwezi kuchukua fomu za kugombea ubunge na Urais kwa wakati mmoja, lazima uchague moja.
  3. T

    REVEALED: How commercial poachers masterminded Kagasheki's fall

    REVEALED: How commercial poachers masterminded Kagasheki's fall DAR ES SALAAM A powerful network of commercial poachers masterminded the downfall of the former minister for natural resources and tourism, Khamis Kagasheki, by systematically sabotaging the government's anti-poaching operation...
  4. T

    Kampuni ya kigeni ya Security Group inavyokwepa kodi Tanzania

    Huu uzi ni ukweli mtupu, hii kampuni ya Security Group inaitumia kampuni ya Ironsides Limited iliyopo Mikocheni kufanya wizi huu mkubwa. Ni Wakenya wawili wanaoshirikiana kufanya umafia huu.
  5. T

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Apelekwe na TAKUKURU, hawajampeleka kwa kuwa Rais Kikwete hayuko serious kupambana na ufisadi. Kikwete hana ubavu wa kuwashitaki viongozi wa zamani (Rais na Waziri Mkuu) kwa kuwa anaogopa na yeye akistaafu baada ya 2015 anaweza kushitakiwa. Anaogopa ku set precedent. Ukweli ndio huo, Lowassa ni...
  6. T

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Kwa msomaji wa kawaida, ni vigumu kujua moja kwa moja kuwa kuna baadhi ya magazeti Tanzania, tena yale yaliyokuwa yanadhaniwa kuwa ni huru na yanayopambana na ufisadi, sasa yanamtumikia Lowassa kwenye mradi wake batili wa kujaribu kujisafisha. Sisi waandishi wa habari tulio kwenye profession hii...
  7. T

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Matusi siku zote ni ishara ya mtu kukosa hoja za kujibu na kushia kutoa mapovu kama mbwa mwenye ugonjwa wa kichaa. Nashauri mtoa mada akupuuzie tu asijibizane na wewe kwani ukirushiana matope na nguruwe anayeshinda ni nguruwe ambaye matope ni jadi yake.
  8. T

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Mpita Njia, si sahihi kwa magazeti kumshambulia mtu tu kila mara au kutumika kumsafisha mtu mbele ya jamii. Magazeti yanatakiwa yawe huru, yaandike ukweli ili kuelimisha jamii bila woga au upendeleo. Ukiangalia tasnia ya habari Tanzania hivi sasa utaona media imegawanyika kati ya pro-mafisadi na...
  9. T

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Hii orodha si sahihi. Mwananchi halitumiwi na mtu, ni gazeti huru kabisa. Kwani Aga Khan akijua tu wahariri wake wanatumiwa anawafukuza kazi, na Lowassa hawezi kumnunua Aga Khan. Ataishia kuwanunua wahariri wa Bongo kama Kibanda na Kubenea tu!
  10. T

    Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

    Naomba wana JF tufananishe editorial hii iliyotoka kwenye gazeti binafsi la THISDAY la Januari 17, 2011, na ile iliyotoka gazeti la serikali la Daily News kusema "Shame upon you Chadema" kuhusu mauaji ya raia Arusha...
  11. T

    Samwel Sitta ashangiliwa sana UDSM

    Katika kamusi, neno ‘Mnafiki' maana yake ni mtu mwenye kigeugeu au mwenye kuwa na sura mbali mbali: Leo hivi kesho vile. Nyie mnaosema eti Sitta ni mnafiki, je ni kwa lipi? Huyu kiongozi Watanzania wengi wanamkubali kwa kuwa amekuwa na msimamo usiotetereka. Mfano ni kupinga malipo ya...
  12. T

    Majibu ya Shy-rose Bhanji kwa US blogger juu ya JK

    I agree with you, perhaps Shyrose feels a great sense of personal injustice hence her decision to speak out in public. Perhaps she feels betrayed, unappreciated, ignored and repeatedly passed over by her beloved party. She has worked her socks off, she has struggled and sacrificed for many years...
  13. T

    Lowassa, Chenge waivuruga CCM - Gazeti la KULIKONI

    RAIA Mwema, KULIKONI na Dira ndiyo magazeti huru yaliyobaki sasa hivi. Buriani MWANAHalisi, limenunuliwa na Rostam na sasa kila siku linaandika habari za kuwabeba mafisadi. Toleo la sasa Kubenea kaandika stori -- "Kikwete kumwangukia Rostam." Total bullshit...
  14. T

    REVEALED: Mgao wa umeme kuendelea mpaka mwaka 2013!

    Richmond ni muendelezo tu wa madudu ambayo serikali imekuwa ikifanya kwenye sekta ya umeme. Lowassa kweli alifeli mtihani wa uongozi pale swahiba wake Rostam Aziz alipomfuata na kumwambia apitishe mradi wa Richmond. Alishindwa kufanya maamuzi magumu na kumwambia Rostam "HAPANA!" maslahi ya nchi...
  15. T

    Mbunge ailipua Mohamed Enterprises Bungeni

    Salaam kutoka Dodoma, Nimeamua kuileta habari hii humu JF kwani vyombo vyote vya habari Tanzania viko mfukoni mwa Gullam Dewji, mwenyekiti wa Mohamed Enterprises, pamoja na mtoto wake, Mbunge Mohamed Dewji. Kwa masikitiko makubwa sana, najua nikiipeleka habari hii newsroom kwetu Mhariri...
  16. T

    Gazeti la MwanaHalisi mmetuchosha

    MwanaHalisi imepoteza mwelekeo. Kubenea ameshawekwa sawa na Lowassa, Rostam na Chenge. Sasa hivi kazi yake kubwa ni kumshambulia Kikwete tu na kina Samuel Sitta na Nape Nnauye. Everybody has a price, Kubenea kwishnei!
  17. T

    Katiba mpya kuzinduliwa Aprili 26, 2014 -- Waziri Mkuu

    Huu ni usanii tu. Serikali inaogopa maandamano ya CHADEMA. Wametangaza tarehe ya kuzinduliwa katiba mpya ili CHADEMA watulie wasitishe maandamano ya kudai katiba mpya kuanzia sasa 2011 mpaka 2014 ili CCM itawale kwa amani na JK aendelee kutalii ulaya na safari zake za ulaya kila siku. By the...
  18. T

    Wabunge kumng'oa Spika Anne Makinda?

    Salaam kutoka Dodoma, Spika Anne Makinda ameonesha kupwaa sana na kutomudu nafasi yake tangu apate cheo hicho. Wabunge wengi, wa CCM na wa upinzani, wanalalamika kuwa Spika huyo ameshindwa kuliendesha Bunge kwa ufanisi. Baadhi ya tabia zinazowakera wabunge ni Spika huyo kuwa "mnoko" mno na...
  19. T

    Lowassa: Wakimwaga mboga namwaga ugali

    Gazeti la KULIKONI la leo moto!....
  20. T

    Dream Team: Sitta, Magufuli, Mwakyembe na Urais wa 2015

    Si viongozi wote wa CCM mafisadi. Na si viongozi wote wa CHADEMA waadilifu. Hivyo mimi siangalii sana chama bali naangalia uadilifu wa mtu. Ukiangalia sera za CCM ni safi sana kama za CHADEMA. tatizo ni watekelezaji wa sera hizo. Mpambano wa SLAA vs. SITTA ungenoga saaaana. Halafu baada ya...
Back
Top Bottom