Search results

  1. telele

    Nimeshindwa, Nahama Chadema

    na wakikuchakachua uje tena hapa jamvini utueleze. maana inaonekana unapenda sana kujieleza mambo yako kwa watu.
  2. telele

    Elections 2010 List ya Viti Maalum CCM: Efraim Kibonde Yumo??

    kibonde hebu tuambie, huwa unafanyaje? unafunika sura au macho makavu? maana duuh!! namaanisha wakati wa kusoma habari. si umenielewa eeeeh? nanihii nae anavua miwani au anaendelea kuvaa? mara nyingi huwa ni dodoma au dar? kaaazi kweli kweli!!! clouds bana!!
  3. telele

    Elections 2010 Zijue Halmashauri zitakazoongozwa na Chadema

    Kwa Halmashauri ya Arusha Mjini, uwezekano ni mkubwa wa kuongozwa na CHADEMA, sababu madiwani wa viti maalum wanapatikana kutegemeana na idadi ya kura za mgombea ubunge. kwa vile Arusha Mjini mgombea ubunge wa CHADEMA alipata kura 56,196 (58.3%) dhidi ya kura 39,362 (38.8%) alizopata mgombea wa...
  4. telele

    Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

    wewe kwa macho yako unaona kuna arumeru magharibi hapo?
  5. telele

    Elections 2010 Ushauri wa bure kwa Slaa

    hivi huoni hata aibu baba zima unakuja na ushauri wako wa kibwege kama huu? hiyo ailimia 20% umeitoa wapi? nyie ndio wezi wa kura zetu nyie!! unamfananisha mpambanaji wetu na wakongwe wa ccm? wewe m*&%$ nini?
  6. telele

    Elections 2010 Matokeo ya awali jimbo la Kilombero na matukio ya ajabu

    wana Kilombero wamekubali kumpa msanii abdul mteketa jimbo. nawapa pole zao. wamemuacha mpambanaji dada yetu regina.
  7. telele

    Elections 2010 Siri si Siri: Pamoja na kauli za kujiamini - CCM wamejiandaa na kuukosa Urais

    I don`t know any Law and i don't understand Economics, but i know when my stomach is empty inakuwasha unataka umpe? hana muda na wewe!! chafu chafu!!
  8. telele

    Elections 2010 Nilichokiona kwenye mikutano ya Dr. Slaa

    majjid umefilisika kiuandishi hadi nakuonea huruma ndugu yangu. naona umekaa mkao wa kusubiri hisani ya CCM upewe hata ukatibu tarafa!! pole sana ndugu yangu. jitahidi labda JK kama ataweza kuchakachuwa kura atakukumbuka na kukupa hata utendaji kata ya KIHESA iringa. maana majjid yule wa enzi...
  9. telele

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Nakushauri usipitie kwenye website ya tradecarview, kuna gharama zitaongezeka, maana wao wanakukutanisha na makampuni yanayouza magari, wao sio wauzaji, so kuna cost zinaongezeka kutokana na wao nao hutakiwa kulipwa na hiyo kampuni baada ya gari kuuzika. Ingia moja kwa moja kwenye website za...
  10. telele

    Elections 2010 Ushauri wa Bure kwa CHADEMA!

    wewe bwana timua zako huko nenda kawashauri hao hao CCM wenzako. huna mema yoyote na CHADEMA wewe! muone kwanza, umekaa kiudini udini!!
  11. telele

    Elections 2010 Makamba: Viongozi CHADEMA wana akili ndogo

    Kwa ajili ya kuweka rekodi sahihi: MAKAMBA aliwahi kuweka rekodi ya kuwa mkuu wa mkoa wa kwanza Tanzania (wakati huo akiwa mkuu wa Mkoa wa Morogoro) kufeli masomo yake ya diploma akiwa mwaka wa kwanza tuu katika chuo cha maendeleo Mzumbe Morogoro (kabla hakijawa chuo kikuu). Japokuwa...
  12. telele

    Elections 2010 Waliotoka mjengoni ni hawa tu?

    Omar Kwang` babati mjini
  13. telele

    Chanzo cha mabadiliko ndani ya CCM na hatma ya upinzani

    unaota wewe! tena ndoto za mchana. pole sana
  14. telele

    Elections 2010 Kamanda wa TAKUKURU ahamishwa baada ya kumkamata DC

    Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro aliemkamata DC ahamishwa, ashushwa cheo. Taarifa za uhakika zinasema kuwa kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Kilimanjaro ambaye maafisa wake walimkamata Mkuu wa Wilaya ya Kasulu kwa tuhuma za kugawa rushwa hapo juzi, hivi leo amekabidhi barua ya kuhamishwa kituo...
  15. telele

    Elections 2010 TAKUKURU yamkamata Magreth Sitta Tabora; Aachiwa kwa dhamana

    mmeanza. wakiwakamata mnasema, wasipowakamata mnasema, wafanyaje sasa?
  16. telele

    Magwanda: Ishara ya Udikteta wa wanasiasa!

    Malaria sugu hujapimwa tuu ujue kinachokusumbua? hiyo siyo malaria kipo kitu kingine wewe! kazi kufuata fuata vyama vya wenzako. nenda kwa marini hassan marini mkamlambe miguu kikwete
  17. telele

    Elections 2010 CUF yasifu utendaji wa TAKUKURU

    kwa hiyo unawashauri wafanyaje sasa? come up with a solution or advice man! siyo kila siku kulaumu laumu tuu jamani.
  18. telele

    Tuachane na kuvaa nguo za Chama

    wewe unataka kila kitu tuige nchi zingine? hatuwezi kuwa na mambo yetu tuu ambayo siyo lazima na nchi zingine ziwe nayo? acha kasumba za kuigaiga na kujiringanisha na nchi za wenzetu. wacha watu wajinafasi. kwani inakupunguzia nini au kukuongezea nini? acha roho na mioyo ya watanzania ifanye ile...
  19. telele

    Elections 2010 Kumekucha Nzega! Selelii azomewa mwanzo mwisho!

    kazi unayo diwani! hivi bashe ana wake wangapi vile? naomba unijibu maana umesema mwenye swali akuulize. jitahidi maana huyo mwislamu bwana anaruhusiwa kuongeza. nadhani wakubwa mmenielewa
  20. telele

    Kutoka Bungeni muda huu: Wabunge wailalamikia Takukuru kuwasumbua majimboni

    hapo SS anatetea uozo, na siajabu anatetea anayoyafanya yeye kwenye jimbo lake anajihami kabla ya hatari. kuna mambo wanafanya hawa waheshimiwa majimboni kwao ni ajabu kabisa, kama huku umasaini kwetu, hawa wabunge waliopo madarakani wanarudi siku za weekend na kuwachinjia wamasai wenzetu...
Back
Top Bottom