Search results

  1. A

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    mada nzuri saana,nami naoma kuuliza,km banda lipo nikianza na vifaranga 600, vitanigalimu km tsh.ngap hadi hiyo miezi 5 wanapoanza kutaga??
  2. A

    Passo Owners Association (POA) Dsm chapter

    watz wengi malimbukeni!!!iweje ujivunie kuumia ati kwaajili ya kuwafurahisha watu wengine???? iwe v8 au paso zote gar
  3. A

    Hizi ndio tarehe rahisi kutongoza mwanamke

    kwani wewe wanakuanzaje
  4. A

    Nyaraka: Kashfa ya Richmond - Maagizo ya Lowassa na Uamuzi wa Serikali

    Escrow fisaid ni nani coz lowasa hakuwa madarakani.ujue kuwa fisadi wa richmond ndo huyo huyo ndo maadna hata miaka 8 daada ya el kujiuzuru ufisadi haukukoma.
  5. A

    Natafuta vifaa vya umeme na ujenzi kwa bei ya jumla-nina duka mtwara

    mkuu hongera saana!nami ninna ndoto hiyo,natamani kufanya biashara hiyo huku kanda ya ziwa
  6. A

    Magufuli amtembelea Askofu Malasusa

    Dhehebu lake halituhusu kama taifa
  7. A

    Kwa form six leavers and graduates

    Jamani naombeni mwenyekujua sifuri (0) kwa tarakimu za kirumi inaandikwaje?? Km vile 10=x,9=ix. Je 0=???
  8. A

    Edward Lowassa special thread

    atakufa coz hela za watu alizoanza kugawa km njugu we !!atazirudishaje!!jiandaeeni na msiba iwapo atakatwa
  9. A

    Edward Lowassa special thread

    nadhani chama cha majambazi bado kina wazee japo wachache wenye akili zao nzuri si km kingunge ambao hawatakula matapishi kwa kulipendekeza gamba gumu zaidi ya lile la mamba kuwa mgombea wao.
  10. A

    Kikao cha Kamati ya Maadili CCM chaanza usiku wa leo (Julai 03, 2015)

    chama cha kifisadi kinawezaje kumuengua fisadi mkuu,au unadhani bao la mkono atafunga nan km siyo lowasa na mihera ya watanzania aliyopiga,na kwa kuwa wa tz wengi ni masikini wa uelewa wanandhani huyo ndo mtu safi leo hadi kufikia hatua ya kumfananisha na mtume!!!!!!??????tunakwenda wapi jamani
  11. A

    Kura yamuumbua Spika Anne Makinda

    Yule siyo spika ni microphone
Back
Top Bottom