Ee Mwenyezi Mungu, asante kwa Lowassa na Sumaye, sasa tunaomba utuletee Warioba!

KITEKSORO

JF-Expert Member
Sep 25, 2012
346
425
Haya yanayotokea ni mpango wa Mungu kuibadili nchi hii. Hawa waheshimiwa Lowassa na Sumaye ni watu wakubwa sana katika taifa hili.Mungu amewaleta huku, nyuma yao kuna mamilioni ya watu, hakika watatuboost sana. Sasa namuomba Mungu atuletee na Mh. Warioba... Wote tuitikie.....'Twakuomba utusikie'.
 
Hahahaaa hii sala nimeipenda ghafla, baba bila kumsahau mzee Butiku na Kingunge.
 
Ni ndoto ya alinacha mh warioba kuhamia eti ukawa

Unaweza asihame kwa kujitangaza bali kwa matendo! !!! Kwa taarifa yenu wanaohama kwa Muonekano ni wachache kuliko wanaohama kwa matendo (mnavaa nao sare tu)

Mnapanga nao mikakati lakin hawako nanyi kabisa! ! Take it from me! !!
 
Haya yanayotokea ni mpango wa Mungu kuibadili nchi hii. Hawa waheshimiwa Lowassa na Sumaye ni watu wakubwa sana katika taifa hili.Mungu amewaleta huku, nyuma yao kuna mamilioni ya watu, hakika watatuboost sana. Sasa namuomba Mungu atuletee na Mh. Warioba... Wote tuitikie.....'Twakuomba utusikie'.

kwa hotuba zao, el na fs inawezekana ni oil chafu tunaziweka kwenye injini yetu ya upinzani.
 
Back
Top Bottom