Search results

  1. wida

    Natafuta kazi ya ufundi umeme wa magari

    Habary wana jamvi naitwa abdallah nipo level !! Katika fani ya umeme wa magari na nina leseni daraja D ,natafuta kazi marafiki zangu
  2. wida

    Msaada wa darasa

    Nina laptop aina ya toshiba na nilikuta window 7 mimi nikabadili kuweka xp ,sasa chaajabu kila nikijaribu naona zinajaa window tu badala ya ku delete za zamani ,zina zidi kuwa nyingi zipo mbili sasa Naombeni msaada ntazifuta vipi ili ibaki moja window xp zisiwe mbili Ahsanteni
  3. wida

    Msaada

    Jinsi ya ku download game ktk computer bila malipo na apps mbali mbali
  4. wida

    Msaada wenu

    Naitwa juma omary nasomea auto electrical ,naombeni msada wenu kujua wapi lipo duka la vitabu >>auto electrical >>enginearing science >>intrepreneur ship >>life skills Naombeni msaada wenu
  5. wida

    Msaada

    Jinsi ya kutengeneza website yako
  6. wida

    Maombi

    Habary zenu ndugu zang kuna freand wangu anahitaj kufungua website km vile Facebook, Twitter nk. A naomba msaada
  7. wida

    Nahisi maumivu

    Samahani wana jamvi, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21, nipo na mpenzi wangu kwa mda wa miaka mitatu sasa tulianza mahusiano tangu tupo o-level, kiukwel nampenda, mnamo mwezi ulopita alinibadilikia ghafla. Nilijitahidi kumuuliza kwa kutumia simu ya rafiki yangu kwani laini zangu...
  8. wida

    Aina za Ubani na kazi zake

    Aina za ubani na kazi zake, maana hutumika sehemu mbali mbali. Naombeni kufahamu aina za ubani na kazi yake.
  9. wida

    Naombeni ushauri

    Nina mpenzi wangu ambaye simuelewi, maranying huwa nasuruhisha matatizo pindi yanapo tokea, ila nashindwa kufahamu hadi naamuwa kukaa kimya wakati fulani ananitafuta kuanza kulalamika nashindwa kumuelewa nikimuuliza jibu lake nipo kawaida mpenzi wangu sina tatizo. Naombeni ushauri juu ya...
  10. wida

    Naombeni ushauri marafiki zangu

    Nipo kimahusiano na binti mmoja mwaka wa3 sasa, kiukweli tunapendana bila matatizo,Tatizo nikwamba kuliwah tokea utata flani hali ilo pelekea wazazi kuchukizwa na sikuwa pamoja. Mwezi ulikatika kama unavyo jua mapenzi kama mnapenda tukajikuta tumesamehe yana tukawa kitu kimoja nilimtengenezea...
  11. wida

    Msaada: Njia gani sahihi ya kuzalisha kwa wingi mbegu za kiumea?

    Naombeni mnisaidie tiba ya kuongeza shahawa na mbegu kuzalishwa kwa wingi. Nawaombeni kam sio tiba hata mawazo.
  12. wida

    App gani inatumika kupata msg za mpenzi

    Ni application gani inayo weza kupata meseji anazo tumiwa mpnzi he/she, help jamani Mfano, mm natumia smartphone yeye anatumia simu ya kawaida
  13. wida

    In life, don't take a woman for granted

    Don't take a woman for granted if she is giving you too much attention. Just consider yourself lucky because maybe she loves you so much that she doesn' t want anyone else to take her place in your life. If she cries for you don't think she is weak but consider yourself lucky that she thinks you...
  14. wida

    Jamani nina shida

    Kuna mdada anakaribia mwezi wa tatu ajaona siku zake kaenda kucheki ujauzito hana yani matatizo tumbo lina muuma chini ya mbavu za kushoto. Anahisi kukojoa mara kwa mara,pia amekuwa mnene.
  15. wida

    msaada

    naombeni kuuliza,msichana wangu anahisi anadonge chini ya kitovu na akienda haja huhisi kama linataka kutoka .msaada je ni nini tatizo
  16. wida

    Naombeni mchango wa mawazo

    Kuna friend wangu ambaye yupo kimahusiano na shemu wangu, wamedumu kwa mda mrefu ila ndoto yao mwaka ujao ilikuwa rasmi wafunge ndoa,tatizo nikwamba rafiki yangu alihisi kuwa mpenzi wake ana msaliti, akaenda kwa jamaa hakuongea kitu alimpigia simu shemu wangu (mpenzi wangu kwa nini haukuniambia...
  17. wida

    Nitumie application gani kupata sms anazotumiwa mpenzi wangu?

    Habari zenu wana Jamii Forums, naombeni mnisaidie aplication ya kupata text anazotumiwa mpenzi wangu.
  18. wida

    Mashine ya photocopy inauzwaje

    Nauliza mashine ya photocopy huwa zinauzwa bei gani na printer inauzwa bei gani. Nahitaji msaada wenu wa majibu
  19. wida

    Nifundisheni jinsi ya kupiga msamba

    habari zenu wakuu .naombeni mnifundishe njia ya kupiga msamba yani step zake nahtaj kujifunza
  20. wida

    Sijui nifanyaje?

    Naombeni ushauri marafiki zangu ndani ya JF, Nina mpenzi wangu ambaye mwanzoni tulipendana sana, nilikuwa namtoa na kumpa kile akipendacho. Nipo nae kwa mda wa mwaka na nusu sasa hakika nampenda sana na yapata miezi ya hivi karibuni ameanza kusumbua mara hapatikani mara usiku anatumika sa 5-7 ...
Back
Top Bottom