Hali ikiendelea kwa speed ambayo inaendelea na hizi tuhuma nzito ambazo zingine zilishawahi kutolewa dhidi ya Sheikh Mkuu wa BAKWATA wa Mkoa wa Dar, then sioni kwa nini Paul Makonda's favourite sheikh abaki ndani ya ya NGO ya BAKWATA.
Miaka michache iliyopita tuhuma dhidi ya Alhadi Mussa...
Dodoma is probably one of the most depressing places on Earth at the moment. The only people in a good mood are swivel-eyed with access to Lithuli and fever-brained mates of Dar es Salaam RC. Everybody else is miserable: frustrated by the intellectual vacuum at the heart of the government and...
Hapa siongelei kilimo cha eka mbili tatu hapa nazungumzia kilimo cha kufa mtu kama wanavyofanya USA, Australia na nchi zinginezo
Swali Kwa nini wafanya biashara wakubwa kama akina Mohammed Enterprises na Bakhressa hawakujikita vilivyo kwenye kilimo hichi ?
Mo Enterprises naona wao ni wanunuzi...
Nina jamaa wanataka kuja kujenga chuo kikuu kikubwa kama vile UD or something similar
Je upatikanaji wa ardhi ukoje? Je serikali au wilaya zinaweza zikawa na ardhi ambazo zimetengwa kwa jili hii?
Je ardhi itabidi kununua au serikali ilishatenga maeneo kwa ajili hiyo (land banks) kwenye kila...
Hivi kuna mtu anajua gharama za kujenga barabra Tanzania kwa kila kilometa moja?
Naomba figures in Dollars
tuseme barabara ni tambarare na kama kutakuwa na jidiraja bas ni viduchu tuuu
na barabara ni kilometa 50
Nina tenda ya kusupply cementi kwenda nchi jirani
sasa sijakubali kitu na hawa jamaa mpaka nifanye research yangu
je bei za cement brand gani ni nzuri na ina bei ya afadhali hapa Tanzania
Je process ya kupata uwakala au u superdealership ukoje na masharti yake je?
Je ipi bora kati ya kununua...
Zitto bado anaendelea kuwa kama mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa chuo. He's too idealistic na cha ajabu anataka transparency wakati kamati yake haitaki kuweka wazi ripoti zake kwenye mtandao na tukazisoma. Kila kitu ni siri sasa iweje leo anataka transparency na accountability toka kwa wenzake...
Wiki hii nitaanza na mfululuzo wa profiles mbali mbali za wake wa wagombea urais na wiki hii ni zamu ya Tunu Pinda abaye mumewe ndugu Pinda alitangaza rasmi kuwa atagombea urais na sasa baada ya ku kaa kwenye side lines Bibi Pinda kaamua kujiweka kwenye spotlight kumsupport mumewe.
Sasa Je Tunu...
NGO za kenya kwa kushirikiana na za hapa na zingine za nchi za magharibi zimetupigia kelele weeeee eti tusijenge barabara serengeti. Mind you hizo ndio zile zile ambazo ziko kimpya kuhusu uharibifu wa mazingira maeneo mengi tuu hapa Tanzania
Lakini serikali yao imeamua kujenga relii na barabara...
According to Mwana JF aka GREAT THINKER aka INDEPENDENT THINKER mwenzetu bwana KIBANGA AMPINGA MKOLONI, Mwana DIASPORA kwa jina la Juma Pinto ambaye ni mfano bora na wa kuigwa na wanadiaspora wengine ameteuliwa kuingia kwenye bodi ya Ngorongoro (ndio hiyo hiyo ya Utaliii zote humo humo)...
Kikwete akikutana na wa Tanzania mambo huwa hivi:
Meza za juu anakuwa na yule dada wa TIC
Balozi wa nchi alikokwenda
Viongozi wa watanzania huko alikokwenda
Hotuba zake huanza na UTANI na maneno ya REJAJEJA na hususan ya kiswahili tena cha kariakoo (huu uchawi wake mkubwa hata mkiwa na hasira...
HAWA WATAKUMBUKWA KUHUSU HATMA YA ZANZIBAR
Written by Zdaima // 24/09/2014 // Habari // Maoni 15
Kwa mikono yao watu hawa wameshiriki ama kuididimiza Zanzibar au kuiinua katika katiba mpya. lililobaki tunasubiri majaliwa.Historia itahukumu. Naomba licha ya msuguano uliopo kuhusu uhalali...
Niko hapa Unguja lakini kila ninayezungumza naye anapenda kujinasabisha na wa Oman kwa kila namna kwa kiasi nilidhani ni mambo ya SLAVE MENTALITY SYNDROME maana sijakutana na mzanzibari (including ndugu zangu) hapa ambao wako proud na uAfrica wao.
N akinachonishangaza historia ya hapa inakuwa...
E-mail contacts za jeshi letu la wananchi ni za yahoo. Nadhani hu utakuwa ni mwongozo wa UTUMISHI kuwa idara zote nyeti za serikali ya Tanzania zitumie e-mail ya bure ya yahoo.
Hili ndio jeshi letu kisasa la bwana MWAMUNYANGE
btw
ni miaka 50 TOKA TUMEPATA UHURU lakini mediocrity kila...
serikali ya nchi hii ya ajabu sana. Mkuu wa nchi ni mwanajeshi ina maana hajui umuhimu wahawa jamaa au?
Mbona wale wahindi wanaopewa tenda za kununua vifaa vya kivita JWTZ wanalipwa ontime?
Tanzania soldiers demand $3m from govt for covert Congo operation
By ERIC KABENDERA, The EastAfrican...
Dar linked Bank to Italian mafia dirty moneyScandal
Kuna habari zimevija kwenye kuwa Gavana wa Benki Kuu Ndugu Beno Ndullu pamoja na Bodi nzima ya BOT wamejiuzulu. Ndullu amepeleka barua rasmi kwa Rais Kikwete na copy kwa waziri Saada Mkuya.
Sababu aliyoelezea ni kuwa nafasi yake imekuwa...
JK alisema Disapora hawana jipya
sasa badala ya kuungana wameanza civil war
MATUKIO-MICHUZI: I DESERVE BETTER THAN THIS, MUOGOPENI MUNGU KAMPENI ZA NAMNA HII HAZITUFAI - IDD SANDALY
kwa mpango huu tutafika?
Dar es Salaam. The single sourcing of a company that was awarded a $117.18 million (over Sh187 billion) tender for voter registration kits triggered the falling out between the National Electoral Commission (NEC) and the National Identification Agency (Nida), it has emerged.
Investigations by...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.