Gavana Benno Ndullu ajiuzulu na bodi nzima ya BOT

Status
Not open for further replies.

JOFFREY BARATHEON

Senior Member
Jun 26, 2014
107
195
Ndulu-2.jpg


Dar linked Bank to Italian mafia dirty moneyScandal

Kuna habari zimevija kwenye kuwa Gavana wa Benki Kuu Ndugu Beno Ndullu pamoja na Bodi nzima ya BOT wamejiuzulu. Ndullu amepeleka barua rasmi kwa Rais Kikwete na copy kwa waziri Saada Mkuya.

Sababu aliyoelezea ni kuwa nafasi yake imekuwa untenable kufuatia skendo ya benki ya FBME ambayo kwa kiasi kikubwa ameshindwa kutoa maelezo ya kueleweka kiasi cha kuwa over rule baadhi ya board members wa BOT kuhusu jinsi gani alivyokuwa akiihandle tuhuma kuwa benki hii imekuwa kuwa ikitumiwa na mtandao wa MAFIOSO wa ITALIA (zaidi soma hapa)

Mwana JF aliopo ndani anatuhabarisha kuwa kwa sasa serikali ya USA imeibebea bano hii benki na pia EU nao wameamua kufanya uchunguzi wao huku wenye mapesa yao wakizidi kuyaondoa huko Cyprus.

Serikali ya JK kwa namna yoyote ile haitaki kuingizwa kwenye mtandao wa nchi zinazotumia mitandao ya kibenki kufanya uhalifu na kwa maelezo ya utetezi ya kwa mkuu wake hayakueleweka hivyo amebaki kuwa hana mtetezi kuanzia kwenye bodi yake, menejimenti, wizara na mpaka Ikulu

Kwa kuwa hii habari inaendelea nashauri tuwe na subira kwani Nzi wetu yuko bize ananyofoa habari zaidi. Pia msiache kufuatilia hizi habari zinavyovuja kwa kila sekunde kwenye mtandao wa TWITTER wa JF. !!


Tanzania security agencies are investigating how millions of euros from an Italian political party were transferred into the country through a foreign commercial bank and invested in the country.

Police have learnt that around 10 million euros ($13 million) were transferred to Tanzania in dubious circumstances. Information made available last week from Italy indicates that the treasurer of the Northern League political party (which is allied to former prime minister Silvio Berlusconi), Francesco Belsito, is under investigation for fraud, embezzlement and money laundering.

Italy's Guardia di Finanza (the financial unit of the tax police in Rome) is presently investigating a questionable 4.5 million euro ($5.9 million) transfer to Tanzania, while 1.2 million euros ($1.5 million) were sent to Cyprus and 1 million euros ($1.3 million) were invested in Norway Crowns.

Investigation by The EastAfrican in Dar es Salaam showed that the money in question was sent to Tanzania through Federal Bank of the Middle East (FBME) in Cyprus and then to FBME Bank in Tanzania. Mr Belsito was apparently the one who deposited the money in the Tanzania bank.

Tanzania's Financial Intelligence Unit (FIU) is investigating the case on suspicion of embezzlement, aggravated fraud committed against the state and money laundering.

The chief prosecutor of Milan, Edmondo Bruti Liberati, told The EastAfrican that three judicial offices, co-ordinated by Milan assistant public prosecutor Alfredo Robledo and public prosecutors Roberto Pellicano and Paolo Filippini, were investigating the case alongside the financial police.

The other investigators include prosecutors Henry John Woodcock and Vincenzo Piscitelli for Naples with the Carabinieri from the NOE ecological operational unit; Reggio Calabria prosecutor Giuseppe Lombardo with police officers from the DIA intelligence unit are investigating possible financial fraud on cheques going back and forth from Italy to FBME Bank in Tanzania.

Allegations

Mr Liberati said that the investigators are investigating the Northern League over a raft of charges of financial irregularities, fraud, embezzlement, and money laundering. The EastAfrican has been exclusively informed that some of the more explosive allegations have to do with links to a Tanzanian businessman who is in close contact with members of the De Stefano family, one of the most powerful clans in the ‘Ndrangheta, the organised crime syndicate based in Calabria, the toe of Italy.

Indeed, the investments made in Cyprus and in Tanzania are being examined for possible links to organised crime. According to Mr Liberati, all the transactions were done in the last week of December 2011.

Mr Liberati said the investigators started their investigation in April this year following allegations that Umberto Bossi, the charismatic leader of Italy's Northern League, used taxpayers' money to pay for improvements to his house and for travel, dinners and hotel accommodation for his children.

"The claims, based on evidence collected through wiretaps, came to light in a judicial warrant issued for the search of the party's headquarters in Milan," said Mr Liberati.

The money transferred to the FBME Bank in Tanzania was frozen and then sent back to Italy when the FIU and the Bank of Tanzania (BoT), which monitors foreign currency transactions, became suspicious of the large amount of money.

Investigators suspect the money was meant for buying diamonds, as one of the suspects was found to have diamonds from Tanzania at his home in Italy.

The investigators further said that the Italian mafia approached the Tanzania government proposing to invest $5.9 million in small scale mining for diamonds, but the government rejected the offer.


Dar linked to Italian mafia dirty money scandal - News - www.theeastafrican.co.ke
 
Benno Ndullu hawezi kujiuzulu kwa scandal ya FBME, mbona kakwepa maji marefu ya ESCROW Tegeta account? Huo ni uzushi tu
 
Kujiuzulu??sidhani, labda afukuzwe. Nahiyo order sidhani kama imetoka ikulu pia, itakuwa from Washington. PUppet master wametoa order kwa puppeteer wao.

Angekuwa na any sense of integrity asingeruhusu hii benki ya kitapeli kuwepo kwa miaka yote hiyo, na pindi tuhuma zilipotolewa, wakaitetea kuwa haina tatizo, hadi pale ilipokuwa beyond reasonable doubt kwamba hii benki ina tuhuma nzito. for trained eye it seems NDULU is a corroborator rather than a regulator.
 
Siamini nikisomacho, lakini kwa serikali hii ya kikwete hilo lawezekana kabisaa

- Rais mwenyewe msanii na hushinda hewani kama popo kila siku kiguu na njia anawezakuhusika hata yeye mwenyewe kiongozi gani asiyetulia kama sio mchonga madili ya kigaid.

-Kama meli za Iran ziliweza kutumia bendera zetu kufanya biashara ya mafuta kinyume na matakwa ya UN basi hili sio ajabu likawezekana.

Lisemwalo ...................tutege masikio
 
Tena angefungwa maisha tu. Lisomi lizima linashusha elimu yake nakutumiwa na watu anaowazidi tena wahuni. Yaani toka watuletee hii mi noti inayochakaa simpendi huyo baba
 
hahahahahahaaaa! hii itakuwa mpya ktk history za bongo. duuuuu! jamaa kaona hela zimemalizwa na vjana wa kikwete. hongera sn bwana ndulu huo ndo uzalendo mwache kikwete na mafisad wenzake ili laana ya watz iwamaize
 
Kama manaibu wa wizara ya fedha ni mwigulu na malima, afadhali ajiuzulu mapema, maana mwakani sio mbali kuelekea uchaguzi mkuu, asije akaingia kwenye scandal kama ya balali!
 
Hii taarifa ya EastSfrican ni ya lini? Ninfungua link haifunguki. Hata hivyo ni mawazo yangu hii si schandal ya kumfanya Prof Ndulu kujiuzulu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom