Search results

  1. Livanga

    Ni kipi chakula bora cha mbwa?

    Katika pitapita yangu na kutafuta majibu kama wewe nilikutana na hii link naona majibu yanapatikana kwa huyu jamaa kangámua vizuri sana. MLO KAMILI WA MBWA UNATAKIWA KUWA NA VITU GANI? ★ Utangulizi Lishe/chakula/mlo kamili kwa mbwa ni muhimu sana kwani humpa mbwa afya nzuri na pia huwakinga...
  2. Livanga

    Naomba list ya Internet Service Provider (ISP) wa Tanzania

    Ni muda sasa tangu tumepima uwezo wa internet provider wa nchi yetu na kaw hali ilivyo wameongezeka wengi tu tangu 2017. sio mbaya tukiongeza kwenye list alafu tukapima tena. kwa kuangalia zaidi mikoani
  3. Livanga

    Tangu makutano ya Ubungo yamewekwa hii Round About, foleni imepungua kiasi

    Napenda kupingana nawe kwa hoja zifuatazo. Baada ya tangazo kwa mba Ubungo patakuwa na tabu kupita watu wengi walibadilisha route Mfano watu wanaotoka Kimara, mbezi, kibaha na kuendelea wanapita Goba na Msewe, wanaotoka tabata na kwingine upande huo wanapita Mabibo kuelekea magomeni na wengine...
  4. Livanga

    Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

    Finally back to dar. My consumption ilikuwa ndigo zaidi ya kwenda as per picture hapo nilifika dar na kufanya mizunguko kadhaa ndio ikawaka taa
  5. Livanga

    Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

    Mkuu nimekuelewa vyema na nakibaliana na wewe kwa confortable na kitulia barabarani na kuongezea unaweza kuwa speed kubwa ila ilivyotulia usijue kama uko speed kubwa. ila napingana na wewe kwenye namba 2 mimi. nimesafiri nayo mara nyingi kiasi kwa route ya arusha, mwanza na Dar. Na ninakiri...
  6. Livanga

    Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

    Kweli mkuu ila nina imani umeelewakuwa gari niliyokuwa nailenga ni gx110 na vinginevyo. Hizo daya nilipaste from site na ukiingia kwa hiyo site hata leo ukaseqrch gx inakuletea marlezo ya jzx
  7. Livanga

    Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

    Mkuu mpaka upate 70 ina maana gari iwe empty kabisa maana mimi miaka yote nilijaza ni 60 that is to say sipendi gari iishe kabisa mafuta and thank you for highlighting that part.
  8. Livanga

    Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

    Nlijaza mafuta Dar full tank lita 60 na hapo ni asubuhi ya leo baada ya kufika Arusha jana km 611 ukigawanya ni km 10.18. Avarage speed ilikuwa 120kph. Nilijaza mafuta Dar full tank lita 60 na hapo ni asubuhi ya leo baada ya kufika Arusha jana km 611 ukigawanya ni km 10.18. Avarage speed...
  9. Livanga

    Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

    Nimeshawishika kuchangia hii mada kwani nami natumia gari hii kwa miaka mitano sasa. Naona watu wanadanganyana kuhusu consumption ya mafuta naomba niseme. Kwa mimi kwa hapa mjini dar inakula km 7.4 mpaka 8 kwa lita. Kwaxsiku natembea km 100 kutoka home kuja town na kurudi. Nikisafiri ni km10...
  10. Livanga

    Natafuta App ya kufanya Fiancial record keeping

    Share the pc version so that we have reference and to see if it fits our needs. I believe you can customize kama haitofit.
  11. Livanga

    Natafuta App ya kufanya Fiancial record keeping

    Sawa tunaweza kukaa mezani. je wewe ni app builder? any app you have created ili niweze kuona for reference?
  12. Livanga

    Natafuta App ya kufanya Fiancial record keeping

    Asante sana natamani ningepata ya kiswahili ambayo wakulima wa Tanzania na wafugaji na watu wengine wanaweza kuitumia. Lengo langu ni kwenda kufundisha vijana (Youth) huko vijijini kufanay record keeping kwenye mradi ambao tunawafundisha na kuwapa mtaji mdogo wa bishara. So tunataka tuwafudnishe...
  13. Livanga

    Natafuta App ya kufanya Fiancial record keeping

    Hello JF natafuta application ya kufanya record keeping especially financial record keeping. Mfano kama mkulima aweze kurecord data zake za kilas iku zinazohusia na na kilimo chake meaning mapato na matumizi. Akifikia kuuza basi akiuza ioneshe kama amepata faida au hasara. Kama kuna Anroid App...
  14. Livanga

    Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

    Mihemko na kuendekeza chama kwenye mambo ya kiuchumi inatucost sana Tanzania na tukiendekea hivi shimo litatuhusu. We need and put our country first.
  15. Livanga

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu ONTARIO big up sana kwa kuleta habari njema kwetu watanzania. Count me in please. Kama nimeielewa vizuri hii ni international business maana kuna watu kadhaa nimeona wanasema hakuna mzunguko mkubwa wa hela TZ so this is not doable. Jaribuni kusoma tena post ya ONTARIO mtaelewa sio kwamba...
  16. Livanga

    Naomba list ya Internet Service Provider (ISP) wa Tanzania

    Kama unatumia TTCL tupe ping statistics yako au speed test ya hio link hapo juu
  17. Livanga

    Naomba list ya Internet Service Provider (ISP) wa Tanzania

    Kenya wako so far in terms of infrastructure YES, Tanzania tumeanza kusogea na soon tutafika huko. I remember three years ago budget yangu ya internet ilikuwa USD 1700 kwa 3Mbps sasaivi kwa the same budget naweza kupata more than 10MBps. So we are moving. Ningependa sana tuwe wakweli na kama...
  18. Livanga

    Naomba list ya Internet Service Provider (ISP) wa Tanzania

    That is to say hawampatii mteja dedicated connection. At the same time vp turn around time yao incase of problem?
Back
Top Bottom