Search results

  1. K

    Bado sijaona mtu anafaa kuwa spika huko CCM

    Wakimaliza kugawana vyeo, wananchi tunataka maendeleo na siyo siasa. Sisi hatuli siasa.
  2. K

    #COVID19 CDC: Chanjo za COVID-19 hazitumiki kufuatilia mienendo ya watu

    CDC wakianza hivi kukanusha ujua kuna siku watakuja kukubali
  3. K

    Wanafunzi 10 bora kitaifa matokeo darasa la saba 2021

    Imekuwa mrenda/mlenda???
  4. K

    Kwanini haiitwi Vatican Country badala yake inaiwa Vatican City?

    Strategic city/country. Kuna mengi sana yamejificha..
  5. K

    Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

    Mtu anaye shituka ni yule aliyesoma mfumo tofauti. Anayesoma mfumo huu wa mkoloni hawezi kushituka kwa sababu ndo anao fahamu na anaona ni bora sana
  6. K

    www.gariyangu.com TRA CALCULATIONS

    Unaweza download majedwari yote mawili (1) Price list inayoonyesha bei ya gari ambayo TRA inatumia kukokotoa depreciation na kodi pia. (2) vehicle valuation ambayo ni jedwali lenye kukokotoa kodi ya gari
  7. K

    Rwandan Generals arrested over failed coup

    Nimekuwa huko hadi mwishoni mwa mwaka jana. Kwa kweli ni hatari sana. naona wakichinjana itakuwa watutsi wenyewe kwa wenyewe.
  8. K

    Ipe maneno picha hii:

    Haipendezi kabisa kupanda pikipiki namna hii. Wote hawana helmet
Back
Top Bottom