Search results

  1. G

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Ndugu Tizo asante sana. Hata sisi tupo Dar, tunataka kufuga kuku so tunaweza kukuonaje tupate hizo detail info.
  2. G

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Heshima wana JF,nataka kufuga kuku wa kisasa lakini sehemu nayotaka kwenda kufugia umeme haujafika bado naombeni njia nyengine ya kusolve tatizo la umeme.
  3. G

    Nataka kuwa mfugaji nifanyeje?

    Hi wapendwa wana JF mi nina shamba la ekali 16 nje kidogo ya jiji(Dar) nataka kufuga kuku na nguruwe but sina pesa ya kuanzia mradi huo.naomba mawazo yenu nifanyeje niweze kutoka katika maisha aya magumu.
  4. G

    CDM kususa kwenu bado hakujaisha?

    Muungano wa Tanganyika na zanzibar ni wa Viongozi si wanainchi wa kawaida.CDM wanaangalia mwanainchi wanataka nini,muungano unakosa thamani kwa kuwa haujashilikisha wanainchi wa kada zote.
  5. G

    Elections 2010 Mabomu ya machozi yarindima Kigoma

    kwa taharifa kutoka kigoma ccm imenyakua jimbo moja tu.majimbo mengine chali mbaya.
  6. G

    viwanja vinauzwa

    Hey kuna viwanja vinauzwa eneo rote ni eka 60 lipo kongowe wasiliana nami kwa +255714104800.
Back
Top Bottom