Search results

  1. franswamj

    Mohamed Dewji Tsh 20 bilioni naweza kununua timu Ulaya

    Hizo hata mchezaji mzuri upati
  2. franswamj

    Nafix TV ukutani kisasa

    Guys nafix tv ukutani kisasa na bei nafuu sana mwenye kuhitaji anipm, napatikana sinza makabulin au Palestina,
  3. franswamj

    Series (Special thread)

    Kuna séries inaitwa hunted hatari sana
  4. franswamj

    DVD inayocheza external hdd

    Wanajamvi naomba msaada wapi ntapata DVD yenye kuplay external HDD
  5. franswamj

    Jaribu kucheki hizi Series

    Karibu na hz utojutia, sijawahi on a vitu kama hv, sijawahi ona 1.V 2009(s01&s02) 2.prisoner break (s01-s04) 3.travellers 4.the 100 5.the strain 6.bates motel 7.breaking bad 8.under the dome 9. Last sheep 10.left over 11.the cape 12.revolution 13.sleep hollow 14.Salem 15.orphan black 16.power...
  6. franswamj

    Dvd player for hdd(external hard disk) inatafutwa

    Wana jamvi nahitaji DVD player inayosoma (HDD) external hard disk...
  7. franswamj

    Series (Special thread)

    Habari wana jamvi, HV ntapataje have n have nots series nimejaribu kickass nakuta ziko kwa episode na baadhi hazipo complete, help me plz
  8. franswamj

    Series (Special thread)

    How can i get hhv n have not?
  9. franswamj

    Je, una matatizo ya mahusiano na mke mume au mchumba

    Wizi mtupu...... Matatizo yanatatuliwa na mungu pekee Ni wahusika na mungu tu, ndo maana hisia na matamanio ndo ziliwakutanisha hao wawili
  10. franswamj

    Msaada: Matibabu ya Masikio

    muhomakilo jr: ok nimeshaipeleka
  11. franswamj

    Msaada: Matibabu ya Masikio

    Jaman mi nina mtoto wa miaka 2, akiwa na miezi mitatu alipata infection ya masikio hadi kufikia kunuka na kutoa usaa kwenye. Tukaangaike hospitali nyingi ikiwa ni pamoja na muhimbili na ikenywa pale mwembe chai, lakin baada ya miangaiko na misukosuko yote mtoto akapona ile infection ikapotea...
  12. franswamj

    Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Jaman mi nina mtoto wa miaka 2, akiwa na miezi mitatu alipata infection ya masikio hadi kufikia kunuka na kutoa usaa kwenye. Tukaangaike hospitali nyingi ikiwa ni pamoja na muhimbili na ikenywa pale mwembe chai, lakin baada ya miangaiko na misukosuko yote mtoto akapona ile infection ikapotea...
  13. franswamj

    Jackline Wolper akifanya mazoezi

    Hakuna kitu, wasanii wengi wa kibongo wanaishi kwa kuact
Back
Top Bottom