Search results

  1. Pleasure

    Jinsi nilivyokwepa kusingiziwa mimba.

    Kulea mtoto wa mwanaume mwenzio ni ngumu kumesaa eeeh! Ila mwanamke kulea mtoto wa mwanamke mwenzie haina shida siyo..! Tulieni muwalee bana
  2. Pleasure

    Kumbe mpenzi wangu wa zamani ni boss wangu

    Kumbe jibu unalo mkuu. Usikilize moyo wako, hutajuta kamwe
  3. Pleasure

    I miss those days

    Haahaahaa! Hapo umeuaa! mbafu sangu mie! Dah! Kweli tunatoka mbali
  4. Pleasure

    Home gym Mwenge yasherehekea miaka 17 tangu kuanzishwa

    Safi sana. No Pain No Gain....hamasisho kwa jamii
  5. Pleasure

    Usafi ukeni - Sharing is caring

    Teh! Hiyo ya kupuliza na pafyumu naona ndo kuharibu kabisa, uke ukiwa safi, hakuna fangasi wala maambuki yoyote. ..harufi yake ya asili inaraha yake....kitu asilia...sijui kwa anayezama chumvini akakutana na harufu ya pafyumu inakuwaje mie naona ni kujichanganya na kusaka maradhi mengine
  6. Pleasure

    Usafi ukeni - Sharing is caring

    Zile zinatoka zenyewe, kikubwa ni kujisafi tu kwa nje, maana hata ukisema upeleke kidole naamini hakifikii urefu wa dushee ambalo ndo linazitema...kwa hiyo kidole hakifiki popote. Mbegu zitakazokuwa zimebaki njiani zitatoka zenyewe...huo ndo uelewa wangu, ila wataalamu wa afya pia waweza...
  7. Pleasure

    Usafi ukeni - Sharing is caring

    Pole wakuu, nitajitahidi kufanya hivyo
  8. Pleasure

    Usafi ukeni - Sharing is caring

    Hayafai, ni bora kuhusisha wataalamu wa afya na hasa inapohusisha afya mwili wako
  9. Pleasure

    Usafi ukeni - Sharing is caring

    You are welcome Rosemary Kisanga
  10. Pleasure

    Mwanamke niliyemsaidia na kumpenda ametoroka na mtoto wangu

    Pole sana mkuu. Naamini Mungu atakufanyia wepesi katika hili. Uwe na subira
  11. Pleasure

    Mwanamke niliyemsaidia na kumpenda ametoroka na mtoto wangu

    Pole mkuu. Weka wazi unapewa majibu gani hapo Ardhi kwa huyo mama aloenda masomoni?
  12. Pleasure

    Mpenzi wangu hatosheki tunapofanya mapenzi

    Umetisha mbaya mkuu, hapo ashindwe yeye tu.
  13. Pleasure

    Mrejesho: Sijui atamwambia wife?

    Pole mkuu. Hongera pia kwa kutambua kuwa hali yako hiyo ni shida, hiyo ni hatua nzuri, kifuatacho dhamiria kutoka ndani ya moyo wako kwa dhati kuacha pombe, halafu muombe Mungu akushindie, hakuna lisilowezekana. Kila la heri mkuu
  14. Pleasure

    Happiness starts within you

    Maneno kuntu!😍
  15. Pleasure

    Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    Pole boby. Hiyo nayo ni changamoto ya aina yake. Nahisi unahitaji ujipe muda, ni bora usogeze muda wa kuoa ili upate tafakuri njema zaidi. Ukikosea katika kuoa/kuolewa imekula kwako mkuu, labda huko ughaibuni kama kuna ndoa za mkataba. Tulia Mungu akuongoze
  16. Pleasure

    Simpendi tena na wala simuamini tena

    Network inasumbua
Back
Top Bottom