Usafi ukeni - Sharing is caring

Hilo nalo neno wapimaji mikono iwe safi...ivi niulize wale wadada walio na mikucha mirefu na rangi juu wanaosheje kwa bibi

wale huwa wanafanya mapenzi ndani ya maji kwenye bath tubs. Ile kochokocho na maji yanavyoingia na kutoka ndio osha yenyewe.
Kwa nini mtumie vidole na vijiti wakati miswaki original ipo?
 
Shaft iko smooth na iko blunted mbele. Haina madhara. Pili shaft haiondoi ule utelezi ambao ni protective.

kinachoharibu usafi ni mashavu (labia). Zikioshwa gently na kitaulo na sabuni nanihii inanukia harufu yake nachurale. Hii mambo ya kusugua jicho (ile ni mucous membrane), ndo linatoa machozi sawia. Mwisho mnalalama ooh maji, ooh harufu!

harufu yake naturally inafananaje? hebu tueleze kidogo zaidi tuifahamu. Mimi huku Tanga kila nikigusa zanukia udi atii.
 
Kwenye research assistants hapo muweke lara 1 please.

Ngoja niweke title sawasawa:

Traditional methods of vaginal cleansing: The experience and prevalence of odor and opportunistic infections

@kiranga njoo ubrush title hapa (achana na content, haikuhusu).
OLESAIDIMU, nataka tuangalie traditional methods kwa sababu scientifically it has been proved kwamba kujiswafi ndani kunasababisha maambukizi ya magonjwa. na mie nakuhakikishia, anebisha ajaribu ama amuambie mwenza wake ajaribu for a month tuuuu, safisha kwa kitaulo (sio madodoki ya kichina) katikati ya mapaja, na mashavuni kote kwa maji na sabuni. kisha kausha tu. halafu uone scent yake :smile-big::smile-big::smile-big:

ondoka kwenye comfort zone yako ujaribu maisha kwenye angle mpya

Well unajua mnaokinzana ni nyie wenyewe watunzaji sie watumiaji tupo kama hivi tunadadisi tu!!!!!!

Mi nadhani tusiweke neno traditional wala modern sababu hiyo unayoiita scientific kwa mujibu wa wengine hapa ni traditional unless by modern you confine the operationa defintion to "chemical use"

Na traditional ya Mwanza sio ya Nabirgunya au Masasi........diversity....

Sikujua kama hili lina utata hata kwa wanawake wenyewe!!!!!
 
Caution to every Woman:

From a medical perspective. Please if you have ears, LISTEN:
1. DO NOT TOUCH: that means do not clean your vagina by inserting your fingers or soap or anything else. THE VAGINA IS SELF CLEANING, IT DOES NOT NEED YOUR HELP, LEAVE IT ALONE. Douching can change the acidity and bacterial makeup of the vagina, causing infections, which may spread to the uterus, fallopian tubes, and ovaries. It has been associated with bacterial vaginosis, yeast infections, pelvic inflammatory disease, and adverse events in pregnancy. Ladies, there’s no need to douche or apply products internally. You can keep your vagina healthy by simply washing of the vulva (outside) with water during your daily shower or bath. Even if you had sex, or just finished your pees, there is NO need to wash inside, you are damaging yourself.

2. DO NOT USE MADURA STICK OR TUMABWE OR HERBS TO TIGHTEN YOUR VAGINA: Your vagina is a muscle, no amount of sticks or stones or herbs will tighten it. The best you can do to a muscle to work it, please try kegel exercise. You can do this exercise anywhere at any time. Do you know why you think your vagina is tighter after using the sticks or herbs etc? It is because they suck out the moisture from inside and make your vagina to swell, therefore becoming smaller and you think you are tight. You are not, you are simply swollen and having sex while swollen will increase your chances of bruising, infection and other health consequences. STOP INSERTING THINGS IN YOUR VAGINA, LEAVE IT ALONE. Also stop putting vinegar or ice cubes in your vagina.

3. STOP ABUSING FLAGYL TO MAKE YOUR BODY BECOME WARM; Flagyl is an antibiotic, which should only be used when prescribed by a doctor. Abusing it will only make you resistant to it and by the time you are really sick and need it, it will be useless. You are making yourself vulnerable to infections. STOP IT.

4. NO MAN IS WORTH DYING FOR JUST TO PLEASE HIM: Please if you have time take a walk to the cancer ward at UTH, after that visit trust me you will not come here asking for Madura sticks or what to put in your vagina. No man is worth putting your life at risk for. DO YOU KNOW THAT WHEN YOU DIE OF CANCER, WHILE THEY ARE BURYING YOU, HE WILL BE TEXTING HIS GIRLFRIEND THAT, I WILL BE THERE IN 30 MINUTES WE ARE JUST BODY VIEWING!!!! STOP RISKING YOUR LIVES TO PLEASE MEN
I REST MY CASE, if you have ears listen.

Forward this to every Woman that you care about

Thank you
 
naomba majibu unajua kuna tofauti ya bacteria za kulinda uchi na zile za utoko?
pili unajua kuna utoko wa mchana na usiku

my dia uchi lazima uoshwe tna kwa maji safi na salama....osha mikono yako kwa maji vuguvugu tumia sabuni or detto kausha mikono yako..anza zoezi la kuosha papuchi taratibu cos haihitaji fujo wala haraka,osha kwa maji tu USITUME sabni or kitu chochote chenye chemical then futa na taulo safi,
Bacteria wa mchana ni muhimu cos wanalinda uke huruhusiwi kuosha ila wa usiku lazima uoshe cos ni uchafu

fangasi utapata kama unaosha bcteria wa mchana wanaolinda na hutumii maji safi na mikono safi na wale ambao wanatumia sabuni

je ushawahi kusikia malalamiko ya wanaume juu ya wanawake wanaotoa uchafu wenye harufu na vitu vyeupe kama mziwa mgando?je ni vitu gani hivyo?

usafi wa uchi kwa mwanamke ni muhimu hakuna cha kujiswafi automatic hizi ni mannual mama lazima mkono safi utumike

Uchafu mweupe na harufu ni uambukizo wa fangasi, ukiua bacteria walinzi kwa kujifanya mjuaji kusafisha ndo unawapata pia unaweza kuambukizwa na mwanaume kutoka kwa mwanamke mwingine mwenye nazo(zinaa) wataalamu wa afya hawashauri uoshaji wa ndani ya uke unadisturb normal flora sijui. Na hizi elimu za makungwi wa mitandaoni n.k za kuweka mist, shabu n.k zitatuua na maradhi. Balance ya ukeni ikibadilika unapata uambukizo fasta
 
Eti usipojiingiza unatoka vitu vyeupe.....sio kweli...ila halafu mambo ya kujiingiza kodole nayaskia ukubwani..sijawahi kuskia
 
Eti usipojiingiza unatoka vitu vyeupe.....sio kweli...ila halafu mambo ya kujiingiza kodole nayaskia ukubwani..sijawahi kuskia

Hayafai, ni bora kuhusisha wataalamu wa afya na hasa inapohusisha afya mwili wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom