Nilitarajia uchakachuaji lazima ufanyike na ndo kilichotokea...ni matarajio yangu pia kura za wananchi zitachakachuliwa pia lkn tujitokeze kwa wingi ili washindwe....lkn hata wakichakachua msikate tamaa ndo safari ya demokrasia ni gharama wadau....ulimwengu mzima umeelewa kuwa ccm na mburula...
Inasemekana kuwa leo usiku kucha ccm ilihaha kwa mbinu mbalimbali ili kubadili msimamo wa wajumbe walopiga kura ya hapana...mchuano ni mkali kwani wajumbe waulizwa wanakumbuka yaliyo mkuta ulimboka,kolimba,mwangosi,dr mvungi na wengineo?ngoja tuone.
Kadri adui zitto alivyoshindwa kutetea wananchi ktk mikataba ya madini na kushindwa kutaja wamiliki wa account za uswizi kutokana na umamluki wake ndivyo chama kinavyoimarika zaidi.....nafikiri mfa maji haachi kutapatapa km yona na wenzie walifukuzwa siku nyingi lkn wanajikomba....kwa kifupi...
Maoni haya ya wananchi yaweza boreshwa kwa kusema kuwa serikali tatu inaweza pita alimradi imepigiwa kura na theluthi mbili ya wananchi....na sio kuleta swala la serikali mbili ktk rasimu ambayo ni kinyume na matakwa ya wananchi.
Wadau wasema Rais ameivuruga nchi kwa kuzarau tume na maoni ya wananchi,ndiye aliyelivuruga bunge maalumu la katiba,ndiye aliyesababisha sintofahamu hivyo ni mh kikwete mwenyewe aombe radhi kwa hilo ili kuleta suluhu pia awaase wabunge kuboresha maoni ya wananchi na si kuyabadili au kuyaondoa.
Utafiti unaonyesha kuwa mfumuko wa bei umefikia zaidi ya 6% kwa kuwa ccm inapoteza muda mwingi kuwadhibiti wapinzani,na hasa wanaosema ukweli zidi ya uozo wa upotevu wa raslimali za nchi kwa wageni na ufujaji wa mali uma.
Hivi hii elimu inavyochezewa kwa kiasi hiki vijana wetu watapata kazi nchi za nje hasa hizi shule za akina kabwela?au ni kwa manufaa ya wtt wa wakubwa tu?huku akina kayumba wakizagaa mtaani tu?hebu tujifikirishe jamani!tusisheherekee tu,kumbe ni sherehe ya kunguru,sie panzi twaumia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.