Search results

  1. S

    Tarehe 11 - 11 - 2011

    Habari wanaJF, Nimeona tushirikiane ujumbe wa tarehe ya leo wenye maana ya kusisimama kwa miguu yako miwili ili hii tarehe iwe chachu ya wote kusimama na kupinga udhalimu na unyonyaji ndani ya nchi yetu natoa wito hakikisha unafikisha ujumbe huu kwa watu watano wasiokuwa na acces ya...
  2. S

    Je, wajua kwa nini Kikwete hakuonekana kwenye kampeni Igunga?

    Ndugu zangu, kulikoni mzee wa kasi mpya hakuonekana Igunga, ama hajapona madonda ya swaiba wake RA? Au aliambiwa akienda atakukumbushia siasa uchwara tafadhali mwenye kujua lolote kuhusu hili tuwaanikie watz waweze kujua huyu jamaa alivyo maana yake usanii tu. Nitashukuru kwa michango yenu.
Back
Top Bottom