Search results

  1. D

    Ushauri kuhusu kununua gari kutoka kampuni ya Be Forward

    Mkuu we n nan kumpangia mtu matumiz ya pesa zake..unajua hilo gari litamuingizia kiasi gani au nyie ndo wa mnaufikir gar m luxury tu.by the way gari used ya tanzania ni magonjwa kununua bora ujipange uagize japan
  2. D

    Fursa za Kibiashara, Democratic Republic of the Congo

    Mkuu nlkuwa nauliza uhutaji wa simu za mkononi upo.. Kuhusu m23 cdhan kama itakuadhili kama ushafanya survey kwanza coz watu wanafanya kaz na biashara huko how do they make it...WATANZANIA TUSIOGOPE KWENDA NJE YA TZ KUTAFUTA TUWE KAMA WAHINDI WACHINA WAZUNGU NA WANAIJERIA..TUAMMKE.
  3. D

    Fursa za Kibiashara, Democratic Republic of the Congo

    Mkuu vp uhitaji wa simu za mkonon aina mbali mbali.
  4. D

    Umoja trust fund (utt)

    kaka mimi mwenyewe ni mteja utt na hakuna gawio la faida ila wa reinvest faida inayopatikana hvyo pesa uliyo wekeza inapanda na uki hitaji toa faida unaomba statement unaangalia pesa iliozidi unaitoa kwa kujaza form na pesa huingizwa kwenye akaunt yako ndani ya siku kumi..hvyo unakosea sana...
  5. D

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    wakubwa naulizia mkoa wa mara vitunguu vinafaa wapi na soko lake lipoje kwa mwanza musoma shinyanga na upande wa kenya kwa sasa..mwenye taarifa naomba anijibu tafadhari..
Back
Top Bottom