Search results

  1. BarakaJr

    Nawezaje kuipata iPad yangu iliyoibwa?

    Wana jf ,habarini za asubuhi,Jana walinipitia vibaka wakanikwapua simu mbili,ikiwemo ipad moja ambayo ni android,mwenye utaalamu wa namna ya kuitress tafadhali
  2. BarakaJr

    Balozi wa Tanzania DRC hana msaada

    Rais amefanya mabadiliko ya wakuu wa Wilaya, sasa ni wakati wa kufanya mabadiliko kwa hawa mabalozi wetu hasa huyu aliyeko huku D.R.C kwani hana msaada kwa waTanzania hata pale anapopewa taarifa. Amekua ni mtu mwenye kiburi na jeuri. Rais tunakuomba utuondolee huyu mtu.Na pia imefikia mahali...
  3. BarakaJr

    Nahitaji vitabu vya hotuba za Martin Luther King Jr, JK Nyerere na Mandela

    Habari zenu wanajamvi wa JF, Naombeni kwa yeyote mwenye kufahamu mahala ninapoweza kupata vitabu vya hotuba za Martin Luther King Jr, Mwalimu Nyerere na Nelson Mandela. Anijuze tafadhali, navihitaji sana.
  4. BarakaJr

    Naomba kufahamu chuo kinachotoa online kozi ya transport&logistic

    Ndugu wanajamvi la JF, Kwa yeyote mwenye kufahamu chuo kinachotoa mafunzo Online hapa Tanzania ya TRANSPORT & LOGISTIC MAN'MENT, Naomba anijuze tafadhali.
  5. BarakaJr

    Kwa nini Serikali inauvumilia utapeli huu?!

    Imekua ni kawaida kwa siku za karibuni kwa watu kujinasibu na kujitangaza kua wao ni kampuni au vikundi vinavyotoa mikopo nafuu kwa waTanzania,cha kustaajisha wanahadaa watu watume kwanza kiasi fulani cha fedha kwenye namba zao kwa M-pesa,tigo pesa au airtel money,ndipo upatiwe mkopo!,ukiwapigia...
  6. BarakaJr

    International Work Permit kwa Drivers

    Habari yenu wana Jf?,naomba kwa anaefahamu ni ofisi gani hapa nchini naweza kupata Work permit itakayoweza kuniwezesha kwenda kufanya kazi ya udereva nje ya Tanzania,Nimetakiwa kupeleka hiyo Permit,please mwenye kufahamu
Back
Top Bottom