jamani nisaidieni, nilikuwa na account ya zamani ila nimeshinwa kuitumia maana sina details kama user number na password, nimejaribu kufungua account mpya, kila nikiingiza namba ya form four naambiwa "index number invalid" natokaje hapa ndugu zangu?
Kuna kitu kinanitatiza sana, hivi maisha nje ya vyeo kama ubunge na nafasi mbali mbali hayawezekani?.
Yaani mtu yuko radhi atembee uchi ili mradi tu apate cheo lol! alafu akishakipata, utamsikia anasema, wahitimu wa vyuo jiajirini, nyambafuuu!!
Hiyo ya Chang'ombe hata mimi imeshanikuta, mwaka 2012. Baada ya kumaliza degree yangu Mlimani mwaka 2011 niliamua kutorudi kijijini kwetu ili nibaki dar kutafuta mishe ya kufanya. nikawa nakaa kwa binamu yangu maeneo ya kawe kwa bahati nzuri nilikuwa napatana sana na shemaeji yangu(mke wa huyo...
Mimi swali langu la kwanza ni je, mtu anaweza kuingia kwenye hii system akiwa mtu mzima mathalani miaka 35-40 kwa mfumo wa hapa Tanzania?
Swali la pili, je, mtu anaweza kufanyiwa closely invetsigations baadae akapotezewa hata kwa miaka 5-10 na kisha akaja kuchukuliwa tena au ukiona hivyo ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.