Search results

  1. F

    Bidhaa zilizokwisha muda wake wa matumizi

    Habari zenu wadau,leo naomba tujadili suala la (expery date) kwa bidhaa tuzitumiazo kila siku. 1. Je, wewe huwa na utamaduni wa kukagua expery date kabla ya kutumia bidhaa? 2. Je, kuna muda wa nyongeza baada ya ule ulioainishwa katika bidhaa husika kwa ajili ya matumizi? 3. Je, unajua madhara...
  2. F

    Proccesing fee & Insuarance fee - NMB

    Habari zenu wandugu. Naomba kwa mwenye uelewa juu ya mikopo,maana kunasiku nimeenda NMB-Nbarali nikataka kujua utaratibu mzima wa mikopo na urejeshwaji wake kiukweli nilishangaa sana. Pale nilipopigiwa hesabu na kuambia katika mkopo wa 10m kuna proccesing fee-kama laki mbili.Insurance fee...
  3. F

    Ushauri wangu ili Kunusuru vijana wa JKT

    Kiukweli huwa inauma sana kukosa ajira baada ya mafunzo yote ya miezi 24 na wengine kama mimi wa JLC miezi 27 pamoja na maneno matamu ya matumaini ya viongozi wetu ingawa FORM YA KUJITOLEA tulijaza wenyewe. Naomba yafuatayo yaweze kufanyika kunusuru hasira ya vijana wanaokosa ajira maana hata...
  4. F

    Msaada Kusoma open university online

    Jaman msaada kwa anaejua namna ya kujiunga na kusoma online(distance learning) katika chuo kikuu huria,kozi ya sheria ngazi ya cheti matokeo ni dv-4(28points)ENG -C,GEO- C,HST- D,KIS D,CIV- D,BIO -F,MATH- F. Msaada na ushauri unapokelewa kwa heshima zote.
  5. F

    Kusoma online open university of tanzania- law certificate

    Heshima ziwekwenu wanajamvi naomba kujua namna ya kujiunga na kusoma online katika chuo kikuu huria kozi ya sheria-results ni Geo-C,ENG-C,KISW-D,CIVICS-D,HIST-D,BIO-F,MATH-F dev 4-28.msaada kwa anaejua hata ushauri unatakiwa kama upo asanten.
  6. F

    Mashine ya tofali

    Wanajamvi habari zenu polen na majukumu,naomba msaada kwa anaejua bei ya mashine ya kufyatulia tofali za aina zote zile za manual,diesel au umeme anisaidie na zinapopatikana tafadhari.
  7. F

    Mtaalamu wa kudesign LOGO

    Mtaalamu wa kudesign logo kwaajili ya logo ya company anahitajika kwa yoyote mwenye utaalamu plz anipe Cost yake, itachukua muda gani? Na anapatikana wap? Bila kusahau kunionesha japo logo sample's kidogo nanaharaka coz nahitaji kumalizia maswala ya TRA.
  8. F

    Maelezo namna ya kutatua migogoro ya muungano kwa kuwa na serikali 2 au 3

    Kama mtanzania ninapata shida kutambua migogoro ya muungano iliyopo na utatuzi wake lakini niliamini wajumbe wangenipatia majibu ya maswali yangu kupitia wale wa hoja ya serikali 3 na wale wa serikali 2 lakini imekuwa kinyume zaidi nachopata ni serikali 2 ndio mwarobaini wa muungano na utatuzi...
  9. F

    Biashara ipi yenye faida kati ya bodaboda na salon ya kiume

    Habar wanajamvi naomba kufahamishwa juu ya biashara ipi inafaida kuzidi ingine kati ya bodaboda na salon ya kiume kwa maeneo ya mkoa shinyanga nina tsh:2000000 but kama kuna kitega uchumi kingine profitable zaidi tofauti na hizo msaada tafadhali kwa mwenye expernce
Back
Top Bottom