Search results

  1. brazakaka

    Ghana vs DR Congo Live online streaming

    Thanx sana
  2. brazakaka

    Mlikuwa mkiitaje enzi zenu?

    sodo hilo kaka. Mambo ya kupiga dochi
  3. brazakaka

    Ng'ombe Matatani!

    Dah, kweli hii kiboko
  4. brazakaka

    Okwi asaini Yanga

    Okwi akaribia kutua Jangwani
  5. brazakaka

    Ngassa Asaini Simba

    Goli lingine hili simba wanafungwa baada ya lile la kelvin Yondan.
  6. brazakaka

    Mwonekano wa mwanamke SINGLE, MARRIED na HAPPY MARRIED ni huu...

    acha kutafuta umaarufu mheshimiwa. kaa chini!
  7. brazakaka

    Poll: Obama 2nd worst US president after Bush

    Obama atashinda kwa vile mpinzani wake si eloquent kama yeye. Otherwise urais wake hajautendea haki.
  8. brazakaka

    Tangazo la kuitwa kazini wale waliofanya interview utumishi kuanzia April hadi June

    angalia vizuri kaka walioitwa kazini H/wilaya nachingwea kwa maafisa watendaji wa kata ni 12 na miongoni mwa walioitwa ni Lusajo andembwisiye lipo namba nne isije ikawa lako.
  9. brazakaka

    Kuitwa kazini sekretarieti ya ajira

    Ni usaili wa kuanzia tarehe 18 aprili hadi mei 14. 2012
  10. brazakaka

    Kuitwa kazini sekretarieti ya ajira

    Heshima mbele wakuu na waungwana. Majina ya walioitwa kazini usaili wa aprili 18, 2012 gonga www.pmoralg.go.tz, www.utumishi.go.tz
  11. brazakaka

    maalim-seif-awaponza-wahariri-zanzibar

    kama ishu ya Tido vile
  12. brazakaka

    maalim-seif-awaponza-wahariri-zanzibar

    Maalim Seif awaponza wahariri Zanzibar Posted on February 29, 2012 by zanzibaryetu Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Abdillahi Jihadi Hassan na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Ali Saleh Mwinyikai wakati wakizungumza na waandishi...
  13. brazakaka

    Kondomu za kike zageuka urembo Kahama, Shinyanga!

    Mkuu ndyoko tafadhali toa avatar hiyo, inachefua mno
  14. brazakaka

    kuitwa kazini ustawi wa jamii

    wakuu majina yapo nenda fasta hapa www.pmoralg.go.tz. www.utumishi.go.tz
  15. brazakaka

    Usaili walioomba ajira TPSC,TIA, TENGERU

    Heshima mbele wakuu, walioomba nafasi hizo hebu bofya www.pmoralg.go.tz, www.utumishi.go.tz
  16. brazakaka

    Idara gani za serikali/binafsi zinaruhusiwa kutumia dola?

    Serikali isilifumbie macho suala la matumizi ya dola nchini mwetu. Nchi za wenzetu ukiwa na hela zako za kigeni mahali pekee pa kubadilishia ni benki tu, mfano dhahiri ni china, kule hakuna mzaha kila kitu ni mwendo wa fedha yao RMB.
Back
Top Bottom