Wakuu napenda kufahamisha tcu huwa wanaanza kupokea maombi ya application kwa ajili ya kujiunga na vyuo kuanzia mwezi gani?
Pia utaratibu wa kutuma unakuwaje kati ua chuo ulichoomba, tcu na bodi ya mikopo.
#kuuliza siyo ujinga.
Wakuu napenda kuelekezwa ni namna gani ya kutuma maombi tcu ili kuweza pata chuo pamoja na mkopo. nina diploma ya mechanical engineering na napenda kuwa mwl. ktk masomo ya science coz nina gpa ya 3.6 vp naweza pata chuo na mkopo ktk bsc. education?
kiroho safi tu.
wakuu salute kwenu.
nina diploma ya MECHANICAL ENGINEERING toka ARUSHA TECH. COLLEGE. huu ni mwaka wa tatu toka nimehitimu na kutokana na ukosefu wa ajira nimekuwa nikifundisha tuition mtaani kwetu. kwa sasa nini mpango wa kwenda kusomw diploma ya ualimu in technical education pale chuo chs...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.