Search results

  1. E

    Elections 2010 Miaka mitano tu kwa Dr. Slaa

    Dr Slaa, is brilliant, huwezi kumfananisha na vilaza wengi wenye degree walioamua kukimbilia siasa za tumbo wanachoweza kufanya zaidi ni kudanganya umma kila kipindi. Go DR.,
  2. E

    Elections 2010 Dalili ya ushindi wa kushindo kwa chadema imekwishaonekana

    dalili hizi ni tosha kuwa chadema sasa imeshakamata nchi dalili ya kwanza ratiba ya kampeni ya ccm imebadilishwa ambapo mgombea urais sasa hatapumzika dalili ya pil ccm wameshaonesha kushindwa kujibu hoja za msingi na hivyo wameanza kutumia hoja za udaku dalili ya tatu ccm wameshindwa...
  3. E

    Elections 2010 Mwanahalisi: Makamba amtumia Mahimbo kukamilisha 'mradi' dhidi ya Slaa

    ccm inafikiri tanzania ya leo ni ya kipindi cha wakati wa kutafuta uhuru ambapo watu wengi walikuwa hawajaenda shule, na uwezo wa usambazaji na uzuiaji habari ulikuwa ni mkubwa. Kipindi hicho unaweza kuzuia nini wananchi wanachoweza kusikia au wasichoweza kusikia. CCM wanatakiwa kuelewa...
  4. E

    Elections 2010 Mgombea wa Chadema ahongwa milioni 60

    Yawezekana huu ni mchezo uliokuwa umepangwa tangu mwanzo. Jamaa alitumiwa tu na alikuwa anajua atakachofanya baadae. Dirty politics, thats it.
  5. E

    Elections 2010 Vichwa vya habari vya Habari Leo kichefuchefu

    Ukishakuwa upande wa ccm, lazima uwe mwenda wazimu. ndicho kinachowakumba habari leo, maana hawatumii akili za taaluma bali ni za mtaani. Sioni tofauti kati ya wapiga majungu mtaani na hao waandishi wa hilo gazeti. Kazi ipo
  6. E

    Zanzibar ni nchi: Dr Bilali arudi kwao

    Hatujawahi kuona watu wa bara wanagombea uraisi au umakamu huko zanzibar, bali tunachoona kila mara ni wale wa zanzibar kupata hizo nafasi huku bara.
  7. E

    Elections 2010 Kikwete aahidi usafiri wa treni Dar

    Alikuwa wapi miaka mitano iliyopita asifanye hivyo?. Au anasubiri kuja kusema haitekelezeki kama zilivyokuwa ahadi zake za 2005. Huyu jamaa anakumbuka shuka wakati kumeshakucha.
  8. E

    Elections 2010 Channel Ten acheni uharamia dhidi ya Chadema

    This is 21st centuary, hao jamaa wa vyombo vya habari vya kifisadi, wasitake kufikiri kwamba wanaweza kuzuia information kwa mtindo huo wa kizamani. You corrupted media people, you need to know that you can fool people once but not twice in such type of arogant behaviors. When you feed your...
  9. E

    Elections 2010 Dr Slaa apitishwa kuwa raisi kwa kura za maoni za Dailynews

    Japo vyombo vya habari vya serikali vimejitahidi kukaa mbali au kimya kwa maswala yanayohusu mwenendo wa mgombea Uraisi kwa tiketi ya chadema na kujitahidi kufunika habari zake kwa kuweka habari za wagombea wengine wa uraisi wa vyama vya upinzani, hali hii inazidi kuvipa taabu vyombo hivyo...
  10. E

    Mwanamke anayejiweza kimaisha

    Joseph nakubaliana na wewe kabisa. You know hili tatizo ni kubwa ulaya kuzidi unavyoweza kufikiri. Ulaya uchumi ulipoinuka na wakinadada nao wakaweza kushika nyanja za kuchumi, impact yake ilikuwa nzito kwenye mahusiano. Mwanaume kama kichwa cha nyumba ni lazima uwe na uwezo wa kiuchumi...
  11. E

    Elections 2010 Dk. Slaa abeba makombora 20

    Wanatumia pesa za walipakodi na watoa jasho wa nchii hii kuendeleza uozo wao waliouzoea I say not at this time, I say not at this hour I say not at this moment, Hii television ya taifa watueleze kama nayo ni ya ccm au ?? Wasituchanganye sasa Inaonekana mkuu amewapa order, But they...
  12. E

    A call for Kikwete to resign his presidency

    Wamarekani waendeshe nchi mara ya pili??. Au ndugu yangu huoni sera zinazoletwa hapo ni copy and paste ya kutoka huko. Mwenye macho haambiwi Tazama. Hii nchi inapelekeshwa kama gari bovu na mkono ulio nyuma ya pazia. Viongozi hapo ni vibaraka wa wanaowapa kichwa na sio wananchi wanaowapa kura...
  13. E

    Elections 2010 Kipengele cha 'kadhi' chapigwa 'x' ilani ya CCM!

    Swala la ccm kuingiza maslahi ya dini ni dalili kuwa kuna agenda za siri zinatakazoingiza nchi kwenye machafuko. Sioni kwa nchi ambayo inalemewa na umaskini na matatizo chungu mzima serikali yake inaanza kusababisha malumbano baina ya imani ndani ya nchi ambapo mwisho wa siku faida zake ni...
  14. E

    Sheria chafu ya madini

    Habari hii toka mwanahalisi ya Tarehe 5 may, inanipa shaka juu ya tunakoelekea. Jihabarishe hapa HAPO zamani wananchi walioishi katika maeneo yenye madini waliamka asubuhi na kuokota madini yaliyoota kama uyoga. Waliuza na kumaliza shida zao. Kuna waliokutana na dhahabu wakiwa wanachimba...
  15. E

    Mhadhiri Bakari Mohammed wa Mzumbe University amjibu JK kisayansi!

    Ndugu yangu Firdous, si dhani kuna haja yeyote ya wewe kuleta jazba kwa kumshambulia bakari na chuo cha mzumbe maana hata wewe mwenyewe sijui kama umesoma kwa makini alichoandika. Alitumia mfano alioutoa kikwete kwamba kama wafanyakazi wote wangelipwa kiasi hicho cha kima cha chini jumla ndio...
  16. E

    Viongozi wa CHADEMA Waongoza kwa Umaarufu Tanzania

    Well, nakubaliana na mtazamo huu wa kiutafiti kama umetumia sample ya wana JF. Unajua kwa muda mrefu sana watanzania waligandamizwa na mfuno wa kisocialist ukawafanya wawe waoga kuzungumza uwazi wa mambo. Hebu angalia ccm inapata wapi kura nyingi, na kwa watu wa aina gani, baada ya kujibu hilo...
  17. E

    The Beauty of Mathematics

    nice theoretical argument, big up
Back
Top Bottom