Search results

  1. V

    Dogo anapiga sana mabao.

    Huyo ana jini mahaba anayemtembelea, Msipochukua hatua haraka hatao mke.
  2. V

    Kwa nini usachi simu ya mpenzio?

    Kusachi simu ya mwenzio tayari umemvunjia Heshima kwa kumuona kuwa sio Mwaminifu. Wanawake na Wanaume wapo wenye tabia kama hizo. Kwa mchezo huo mtaishi maisha ya mashaka na ugomvi hadi mwisho wa maisha yenu.
  3. V

    Asilimia 40 ya wanaume wanatunza watoto sio wao

    Ni kweli hiyo inatokana na wanaume wengi kushindwa kuwatimizia wake zao kimapezi. Wewe Mwenzio hajajisikia Wewe Umefungulia Bomba Mwa mwa mwa mwa na kujilaza . Wakati mwenzio bado anataka mchezo mpaka naye Amwage maji kama wewe. Badala yake anapatikana mtu anayejua...
  4. V

    Ananipenda mimi na mdogo wangu nisaidieni.

    Msichukue vijisenti vyake, Ninyi kutaneni wewe na Mdogo wako na yeye Mwenyewe huyo Mwanaume, Alafu mumueleze kuwa ninyi ni ndugu ni Mwiko kuchanganya mtu na dada yake. Kuanzia leo basi. Ukiendelea tutakushitaki.
  5. V

    Mume wangu anataka kuniingilia kinyume na maumbile

    Pole sana dada yangu kwa masahibu yanayokupata, Sifahamu Dini yako. Lakini ninachotaka kusema ni kwamba Vitabu vyote Viwili vya Dini vimekataza mchezo huo. Mwanaume huyo anawalakini kichwani mwake. Wewe hata ungekuwa ukipendelea mchezo huo yeye anapaswa kukukatalia na...
  6. V

    Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    Hallo Bwire, Biashara ya Daladala ni Biashara kichaa. Ukipata pesa Jenga Nyumba inayopanda Thamani kila siku. Dereva wa Daladala anakwambia tajiri ndiye Mwenye gari na sisi ndiyo wenye pesa. Utadanganywa mpaka utafilisika. Ili ufanye Biashara ya Daladala lazima uanze...
  7. V

    Lowassa, Sitta wakimbiana hoteli ya Ngurudoto Arusha

    Mkulima your right, Yes, Ni vyema tuzungumzie mambo yenye manufaa kwetu na kwa Taifa.
  8. V

    Kuna ubaya gani Zanzibar ikajitenga na kuwa huru kama Zamani?

    Marekani unafahamu ziko Nchi ngapi zilizoifanya kuwa - ( United State of America) Sasa nakujulisha ziko Nchi 52. Ndiyo inaitwa Amerika. Ulaya wameungana na hata kuwa na pesa yao yaani EURO. Tanganyika na Zanzibar ziliungana kwa ridhaa ya sehemu zote mbili Tanganyika na...
  9. V

    Polisi wamkamata mwandishi Dar

    Inaonekana Polisi wanakazi moja na Waandishi wa habari, Kwanza walianza na J. Muro na sasa wanaendelea na wengine, Hii inaonekana ni Kampeni ya kudumu. Arusha pia Waandishi wa habari wamekamatwa.
  10. V

    Polisi wamkamata mwandishi Dar

    Ndiyo sababu maranyingi Polisi hawapatani na Waandishi wa habari kwa kuhisi na kuzani mambo yao yaandikwa. Suala la kugawa Ardhi ni lazima Maandishi wawepo kwa ajili ya kuwahabarisha Wananchi. Kukamatwa kwao sio sasa.
  11. V

    Bongo Radio kusikika Kwenye Simu za Nokia

    Sawa tumekubali.
  12. V

    Umeiona hii? Viongozi wapo kazini ati

    Do! hii kali kuliko zote.
  13. V

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Kwa kawaida ukishakuwa na Umri Mkubwa unakuwa umeona mambo mengi sana. Mimi nina Umri wa kutosha sasa. Naomba ni kanushe kuwa maeneo yote yaliyotajwa hayana Ukabila. Wafanyakazi walioko pale wako kwa ajili ya elimu zao. Kama umesoma na unafiti kwenye Fani lazima utapewa kazi...
  14. V

    Simwelewi mpenzi wangu

    Upelelezi ni sumu ya Mapenzi, Wewe unampenda sana hapa yako ni mapenzi simu inakuhusu nini? Unajua anashughulika na nini? Wewe unataka kujua kila kitu. Atakuchoka na Mapenzi yatakwisha. Kama unataka kumdhibiti muoane Uwe mali yake na yeye awe mali yako alafu muweke mipaka...
  15. V

    Ati Wachagga hawajui mapenzi?

    Wachaga wanajua Mapenzi sana. Mchaga huwezi kumpata kirahisi kama ilivyo kwa Makabila mengine. Mchaga urafiki wao ni wa miaka mingi. Watu walio wengi wanapenda Mwanamke amtongoze na kumpata siku hiyo hiyo. Kwetu sisi Mwanamke ukimtongoza akakubalia siku hiyo hiyo sisi...
  16. V

    Kwa wanaume tu!

    Hiyo mimi ningeipangua vibaya sana, Kwanza kosa la huyo Mkewe kumwambia avue sebuleni ni kosa ambalo lingenisaidia mimi. Kwanza siku zote tunavulia nguo chumbani kwetu leo iweje nivulie sebuleni, Kwanza ningemchapa kibao kitakatifu akazindukia Hospitali. Na ikawa ndio...
  17. V

    Mwanamke akipendeza anamfurahisha nani?

    Sizani kama Mwanamke anapendeza akikaa Uchi. Mwanaume alikuwa na haki ya kumwangalia Mkewe na Nguo anazovaa ili asije akawa kituko kwenye shughuli za watu. Nguo fupi huwa ni za Machangu, Sasa yeye alikuwa ana ng,ang,ania nini? Inawezekana huko walikokutana kabla ya kuoana...
  18. V

    Mume wangu katumiwa Valentines card na mwanamke mwingine

    Inawezekana, Lakini inahitaji uelewa wa hali ya juu, Kwanza uelewe kuwa Mtu kumtumia mtu mwingine Card ya Valentines sio kuwa ni mpenzi wake. Kumbuka kuna Rafiki na Mpenzi. Kuna jamaa yuko Mwanza kila akipiga simu kumtafuta mtufulani simu yake inapokelewa na Mwanamke...
  19. V

    Uchaguzi mkuu TZ 2010: UPDATES

    Uchaguzi wa Mwaka 2010 ni Mzuri wala hakuna wasiwasi hasa kwa Rais wetu, Huyu atapita kwa kishondo kikubwa sana, Najua maneno haya kuna baadhi yanawaudhi lakini hilo ni lao. Mimi na Familia yangu tutampigia kikwete, Pamoja kuwa ni kura ya siri lakini mimi hilo halinipi Pressure...
  20. V

    Mungu Lihurumie Taifa hili na Wananchi Wako!

    Kwa kawaida Mungu hafanyiwi Mzaha kama tunavyo fikiri. Bahati haiji mara mbili walisema wahenga. Wakati Baba wa taifa J . K . Nyerere alipotangaza Azimio la Arusha kulikuwa na wanafiki wengi. Walienda nalo hivyo hivyo kwakuwa mkubwa amesema lakini walikuwa wakitamani Ubepari...
Back
Top Bottom