Lowassa, Sitta wakimbiana hoteli ya Ngurudoto Arusha

Waheshimiwa Heshima mbele
Mti utatambulika kwa matunda yake. Mwembe utazaa maembe, mparachichi maparachichi na mchungwa machungwa.

Hapa tutawatambua wote kwa matendo yao.
 
baada kamati ya mzee mwiyi kuanza kazi yake, jana kwenye hoteli ya ngurudoto vigogo hawo wawli walikimbiana baada ya spika wa bunge samweli sitta kutotia miguu kweye hoteli hiyo, kamati hiyo ikaanza kuhaha huku na kula, ndipo muda si muda wakaamua kutoka na kauli moja na kumpigia simu ila walipo kuwa wanpiga simu ilikuwa haipatikana, ndipo lowassa akaanza kulongo huja jamaa kwani yeye ninani mpaka anaharibu apointment huu ni utovu wa nidhamu na haipendezi, upande wa sitta ambao walionekana dhahiri kutetea wakasema huwezi jua amekutwa nanini cha muhimu hapa tusubiri, ila ukweli ukadhihirika kuwas kamati hiyo ilikuwa na agenda ya kumbana sitta ndiyo maana hakutokea na mpaka majira ya saa nne usiku hakutokea ndipo kikao hicho kikafungwa, na baadhi ya makundi yakaanza kuondoka huku kundi la lowassa likielekea kwemye hoteli ya kibo palace inayo milikiwa na mramba

Wapiganaji wamedai kuwa watu waliohusika na kashfa zote ikiwamo hiyo hapo chini "Washugulikiwe" na chama or something.

Kashfa ya Loliondo – ambapo urithi wa watoto wetu uliuzwa na umeendelea kuuzwa
kwa wageni

Hii kamati ni ya kusuluhisha,na wapiganaji wameshasema hakuna suluhu na mafisadi,na pia hivi Loliondo ina haina uhusiano na Mzee Mwinyi?Ni sawa na zile kamati zake ambazo anawamix wote mafisadi na wapiga kelele,ilimtokea Zitto kwenye kamati ya madini....Huyu Mh Rais naona anapenda masikhara kusema kweli.
Kama yote wanayosema wapiganaji ni ya kweli,basi hatua ya kwanza ni kususa vikao vya kamati hiyo,wakihudhuria vikao hivyo basi moja kwa moja waraka huo machoni pa wengi utakuwa null na wakitapeli.
 
Back
Top Bottom