Search results

  1. andy90

    National Institute of Transport (NIT) -Special Thread

    STUDENTS ACADEMIC YEAR 2018/2019 Naomba kuwapongeza wale wanafunzi wote mliochaguliwa kujiunga na chuo cha Taifa cha usafirishaji NIT. Natumia fursa hii kuwakaribisha chuoni; pia kwa ambao hamfahamu location ya chuo kiko Dar Es Salaam-Mabibo Mwisho kabisa chuo kitakapo anza usajiri rasmi...
  2. andy90

    Kufungua kampuni ya Uwakala wa forodha kwa kweli masharti yake ni magumu

    Wana Jf habar; Nimekuwa nikizipitia hizi sifa za kufungua kampuni ya Uwakala wa forodha kwakwel mashart yake ni magumu, ikizingatiwa na hali ya upatkanaji wa pesa halafu TRA anahitaji uweke Bond (dhamana) ya Tzs 100000000/= lol kwa hali hiyo wanaotoka vyuon na kuwa na wazo la kuingia kwenye hyo...
  3. andy90

    ITV Kipima Joto

    Mabadiliko ya Viwango vya kujiunga na Vyuo vikuu Nchini, Je yanaeleweka kwa wadau wote? ITV live Now 21:00
  4. andy90

    Kauli za Rais Magufuli zionyeshe uhalisia kwa vitendo

    Kauli za Mh. Rais Magufuli zionyeshe Uhalisia “Tanzania hii ilikuwa shamba la bibi … watu walikuwa wanafanya ya hovyo, ninaposema ya hovyo ni ya hovyo kweli.” “Mimi nimekuwa waziri kwa miaka 20, mambo ya mateso kwa wananchi hayana chama- ukikosa dawa hospitalini utakosa tu uwe CHADEMA au CCM...
  5. andy90

    Ushauri kwa wabunge wa UKAWA

    Licha ya kuwa imeamuliwa kutorushwa kwa matangazo ya bunge mchana badala yake yatarushwa usiku baada ya kuwa recorded. Basi Ushauri wangu kwa wabunge wa UKAWA ili waondokane na wasiwasi na hofu ya kuchakachuliwa kwa hoja zao wazitoazo bungeni bas nawashauli kila mbunge aweze ku record kile...
  6. andy90

    Mafisadi wanafurahije bunge kutoonyeshwa live?

    Katika hali ya kuuzunisha Mh.Rais unawaangusha wanyonge wa nchi hii hasa walioanza kuamini wewe ni jembe ingawaje mimi binafsi bado sijaona cha kusifia saaaanaa. Kwa kifupi ni kuwa kutoonyeshwa kwa bunge live kuna wapa haueni wale wapiga dili na mafisadi kwani wengi wao tuliwafaham pale...
  7. andy90

    HESLB! yatoa awamu nyingine

    Hatimae HESLB wametoa awamu ya nne ya majina ya aliopata mkopo Ingieni kwenye link ya loan allocation angalieni
  8. andy90

    Heslb

    Wakuu habari zenu! Mim nmekuwa nikisoma malalamiko mengi sana ya wana Jf ambao ni student's wanaotaraji mkopo, nlichokigundua ni kweli kuna waliopata na kunawaliokosa. Ila mmi binafsi nauliza je kati yao waliokosa kuna ambao mwaka wakwanza walipata na mwaka wa pili wakakosaa?? nikipata kujibiwa...
  9. andy90

    NIT loan beneficiaries Tukutane hapa

    Habar zenu wandugu! Karibun sana katka hali ya kufahamishana mawili matatu kuhusiana na kuripot chuon na mambo mengine ikiwa wapo miongon mwetu washafika kwenye hii Taasis yetu ya Usafirishaj kujua kinachoendelea bas atujuze Vile vile kama documents za ku sign boom zshatoka tufahamishane wadau
  10. andy90

    Under NACTE mbona hatuthaminiki

    Wale waliioomba nacte wanaosubili selection ya pili ingieni kwenye profile account zenu za nacte halaf tuzidi kupeana Information inakuwaje,,
  11. andy90

    Jimbo la Kawe mwaka huu ushindani mkali sana

    Habarini wandungu! Jimbo la kawe mwaka huu ni ngumu kutabiri ni nani ataibuka kidedea kutokana na kuwepo kwa wagombea wote wawili kukubalika na wananchi. Jambo lingine ni kuwa mgombea aliyekwisha ongoza miaka mitano ambaye ni wa upinzan kuonekana kuridhika na nahis labda ameashajihakikishia...
Back
Top Bottom