Ipo Mvuha, usafiri kwa njia ya treni zaTazara unafika,na hata kwa barabara haswa hiki kiangazi ni uhakika,ni pazuri, maisha rahisi, biashara ya kilimo haswa mpunga na mbogamboga na matunda ndo penye
Mpaka umefunguliwa kwa baadhi ya huduma kupita,kwa sasa mpaka utahudumia magari yaliyobeba bidhaa za mafuta,chakula pamoja na dawa na vifaa tiba tu,hii ni kwa mujibu wa idara ya forodha ya Zambia
Wakuu salama,
Naomba msaada wa kupata lodge nzuri na yenye bei nafuu kuanzia 20,000 hadi 30,000 maeneo ya jirani na Muhimbili hoapitali.
Mke na mwanangu wanakuja huko hospitali
Wakuu habarini,jumatatu ntakua Dar kuna semina ntafanyia ukumbi tajwa hapo juu,nina mtoto mchanga ninaomba msaada wa kuelekezwa lodge nzuri iliyo jirani na Kisenga na yenye bei nzuri ili nifanye booking mapema.
Budget yangu ni sh.elfu 20000 hadi elfu 30000.Ahsanteni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.