Search results

  1. Silvano

    Kupotelewa na vitambulisho

    Waungwana nimepotelewa na vitambulisho vyangu siku ya Jumamosi. Kwa yoyote atakaeviona tuwasiliane whatsap 0713680495 au anaweza kupiga 0713403575. Jina Silvano Machangu nipo Magomeni Dar es Salaam. Nitashukuru sana kwa msaada wenu
  2. Silvano

    Yanayojiri Bungeni 19 Novemba, 2015: Rais Magufuli amteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

    Kweli mwaka huu umdhanie ndiye siye. Haya sasa Majaliwa hata kwa mawazo ya watu hakuwepo. Pombe kaamua
  3. Silvano

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    Katika kipindi cha wiki moja au mbili kumezuka gonjwa la watu kukohoa kikohozi kikavu na pia mafua katika jiji la Dar es salaam. Watu wengi sana wamekumbwa na gonjwa hili. Je sababu kuu ni nini?? kuna baadhi wanasema ni mabadiliko ya hali ya hewa yaliyopo now. Sijui wenzangu mnasemaje kuhusu hili.
  4. Silvano

    PICHA: Tukio la watu kunasana wakizini

    ni hatari lakini salama
  5. Silvano

    Hodi hodi

    welcome
  6. Silvano

    Maandamani a Waislamu

    Ndugu zangu hebu tujadili nini hatima ya vurugu zinazoendelea kati ya wanauamsho wa kiislamu dhidi ya serikali hatima yake ni nini??? Ukiangalia ndani ya wiki hii kumetokea vurugu Mbagala, ikaja ya Sheikh Ponda kukamatwa hadi kusababisha mabomu kupigwa central police jana, hapo hapo zanzibar...
  7. Silvano

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    safi sana endelea kutujuza kamanda mkuu
  8. Silvano

    kongamano MUCCOBs aka ushirika jumamosi 21 of may

    nice one big up organisers
  9. Silvano

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    WATU 15 wakiwemo watoto wawili, askari polisi mmoja wa jijini Mwanza wamepoteza maisha na wengine 67 kujeruhiwa vibaya katika ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Sheraton lenye namba T 268 AJC na basi la Bunda Expres namba T 810 BDW baada ya kugongana uso kwa uso eneo la...
  10. Silvano

    Natafuta wimbo fulani

    Mama Yangu wa Banana Zoro
  11. Silvano

    Natafuta wimbo fulani

    :tonguez:
  12. Silvano

    Mshiriki wa Tanzania BBA hana uzalendo

    ni ubinafsi na kukosa uzalendo kwa nchi. Watanzania tupendane jamani
  13. Silvano

    picha za ajabu!

    da kweli si mchezo computer zetu hizi zatisha
  14. Silvano

    Gari hili gari gani?

    du naona hili gari ni sawa na mke asiye na uaminifu nyumbani tamaa zimemjaa
  15. Silvano

    Hellow members

    Nashukuru kwa info nzuri kutoka kwako nitajitahidi na mie niwe mmoja wa wachangiaji.
  16. Silvano

    JayDee na Chuki Party

    Ndugu zangu mnaongeleaje kuhusu part hii kali nimeipata kupitia http://ladyjaydee.blogspot.com/ . Nadhani ni kali na haijawahi kutokea hebu someni: Habari gani wapendwa. Nimepata wazo moja hivi ambalo ningependa kuwashirikisha, mara nyingi tumekuwa tukifanya party za kukusanyika marafiki...
  17. Silvano

    Hellow members

    Thanx very much for nice invitation and clarifications. Tuko pamoja
Back
Top Bottom