Search results

  1. Theodora

    Precision Air is the Worst Airline and aviation company

    Anayetoa vibali ili ndege ziwe registered na kuruka achunguze Precision Air. Precision gharama zao ziko juu, wahudumu hawana msaada na ndege zao hata siku moja haziheshimu muda. Wapewe ultimatum. Hawafai na hawana professionalism.
  2. Theodora

    Ungemshaurije ingekuwa ni wewe

    Nawasabahi wote wanaMMU. Kuna wakati unadhani ya kwako mazito hadi usikie ya mwenzako aisee. Rafiki yangu yuko kwenye mahusiano na jamaa na wana mtoto sasa eti kamtumia ujumbe wa sms jana 'kuna binti nimempa mimba. Nimeshindwa kumshauri maana najua advise yangu ingekuwa negative. Maana jamaa...
  3. Theodora

    Simu iliyobadilisha maisha yangu

    Nawasabahi wanaMMU. Ni Jumapili kama hii wiki moja imepita nilipokea simu ambayo imebadilisha maisha yangu na mtazamo wangu kuhusu mahusiano. Well, nilipokea simu na upande wa pili nikasikia sauti ya mwanamke, na kwa sauti ni mtu mzima. Aliongea mengi na mwisho akaniambia kama unataka...
  4. Theodora

    Physical attraction and love

    Habarini wanaMMU. Ili mapenzi ya dhati kuwepo, lazima kuwepo na physical attraction kati ya mke na mme? na je, mapenzi ya dhati yanaweza kuexist bila physical attraction? (hapa ni kwenye mahusiano/ndoa). Na bila physical attraction uaminifu kwenye mahusiano utakuwepo? Na pale ambapo mtu...
  5. Theodora

    Abuse/ Insulting children

    Habarini WanaJF. Kuna tukio nimeona mchana huu, yaani imenichefua. Baba mzima anamtukana kabisa mtoto, na kucheck mtoto anayetukanwa ni kama miaka minne, mtoto anabaki analia. Sijui ni kosa gani lakini kweli is this normal behaviour? Labda mimi sielewi lakini ci mambo kama haya baadaye...
  6. Theodora

    Big Girls Don't Cry?

    I post new topics rarely but on Friday 8, 2013 changed my life. My heart was destroyed and I cannot mend it this time, or perhaps I don't want to. First time I wanted to scream bloody murder. I want to break down and cry, but I remember Fergie's song 'Big girls don't cry'. But why do bad...
  7. Theodora

    Dar es salaam Independent School

    WanaJF habarini. Kwa yule anaefahamu shule hii ya DIS naomba anipe info kama kweli ni International school, Performance yake, ada na ability ya graduates wa shule hii.
  8. Theodora

    Best International Schools in Tanzania

    Naomba ushauri kuhusu International schools ambazo zinaperform vizuri na pia gharama zao ni average, siyo juu sana. Na je, ni Feza tu International school nzuri ambayo ina option ya NECTA?
  9. Theodora

    Nyumba ya kuppanga maeneo ya Mbezi Beach

    Natafuta nyumba ya kupanga - iwe 2 bedroomed (1 master), maeneo ya Mbezi Beach kati ya Tangi Bovu - Makonde. Budget ni Tshs. 250,000 - 350,000. Isiwe mbali sana na barabara na iwe na fence, luku ya kujitegemea. Very serious.
  10. Theodora

    Gharama za kutumia Grader

    Habarini wanaJF. Kama yeyote anafahamu gharama za kulevel kiwanja kwa kutumia grader naomba ushauri. Nimesikia kwamba wanacharge kwa masaa.
  11. Theodora

    Ubaguzi na unyanyasaji kazini

    Je, kimbilio la mfanyakazi ni wapi hasa pale ambapo wanaohusika katika ishu ya ubaguzi na unyanyasaji ni mkuu wa idara na meneja wa kampuni? Imekuwa sasa kudhalilishwa kazini na kushushwa vyeo kiholela - kisa ni kusimamia ukweli. Hasa makaburu ndio wamezidi na tabia hiyo. Halafu vipi Mh. Vuai...
  12. Theodora

    What would you do?

    Habarini WanaJF. I met my long lost friend and we were sharing what has been happening in our lives. Huyo dada is full of life, has everything going for her, intelligent, and has never given up in what she does, with a good soul. I sometimes admire her tenacity. She has been with this guy 3...
  13. Theodora

    Please Advise...

    Hello wanaJF. Nina rafiki wa muda mrefu ambaye amenisaidia sana nilipokuwa kwenye kipindi kigumu maishani - and knows almost everything about me. And we have only and only been friends. Mwaka jana alienda Uingereza where the spouse is. Infact, I advised on this decision. Huwa ananipigia...
  14. Theodora

    Overweight and Obesity

    I know genetics play a big part in weight and height. But what are the probability of toddler who is overweight in the first 2 years becoming of normal weight. None of the parents overweight but one is considerably above average in weight and the other slender/normal weight?
  15. Theodora

    Is Age nothing but a Number?

    WanaJF, kwanza kabisa ili nisiwe plagiarist, ningependa kusema kwamba thread hii nimeianzisha kutokana na thread ya ile ndoa ya kijana wa 25 anamuoa bibi wa miaka 56 huko Kenya. Nimeona maoni kibao lakini kilichonipelekea kuanza kutafakari ni cliche kama - age is nothing but a number, wengine...
  16. Theodora

    Mwanamume Malaya - Je ungekuwa wewe ungefanyaje?

    Nimekuwa kwenye relationship ya up and down na nimeteswa kinoma. Tumezaa mtoto na huyu mwanamume lakini alivyosikia mi mja mzito akaanza kuwatongoza wanawake wengine na nikasikia anafunga ndoa. Dunia ajabu, familia ya yule dada walipata ukweli na wakamkataa. Baadaye akaanza kurudi kwangu lakini...
Back
Top Bottom