Search results

  1. U

    Kwa wale wa Mount Meru University(MMU)

    Wakuu ninatarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu na ninapendelea kusoma katika chuo hiki kampasi ya mwanza kwa koz ya BBA lakin nilikuwa nataka nijie kuhusiana na ubora wa elimu inayotolewa katika chuo hiki pia idadi ya masomo kwa semister moja ili niweze kufanya chaguo sahihi. Naombeni kwa...
  2. U

    King'amuzi cha azam

    Wakuu tangu azam atoe ving'amuzi vyake nilkuwa bado sijaviona lakin leo katika pitapita yangu nikaweza kumkuta jamaa mmoja anacho aisee nimevutiwa sana na hiv ving'amuz kwanza channel ni nyingi pia rangi imetulia tatizo ni dish lake kuwa kubwa sasa kwa sisi tunaoish kwenye upangaji tutapata...
  3. U

    Ndugu zangu tusiwaamini wanasiasa hata kidogo!!!

    Wakuu kwanza polen na majukumu ya kila siku, mimi ni mdau mkubwa wa siasa hasa baada ya uchaguz mkuu uliopita nilikuwa nafatilia sana siasa za vyama vyote chama tawala na vyama pinzani. Mwaka 2010 kipind cha uchaguzi mkuu nilikuwa nimejielekeza zaid katika kufatilia hoja zilizokuwa zikitolewa...
  4. U

    Ardhi Mwanza haishikiki!

    Wakuu kwa wale wenyeji wa Mwanza mtanielewa, nilbahatika kupata kazi Mwanza na sina muda mrefu sana lakin leo nimeshangaa kwan niliongea na mtu mmoja wa Buswelu ili anitafutie ka kiwanja nami nijenge angalau ili niepukane na upangaji. Cha ajabu nimeenda kuonyeshwa kiwanja sehem moja inaitwa...
  5. U

    Mwigulu Nchemba: Serikali haina fedha kwa ajili ya kuajiri walimu wapya

    Wakuu naibu waziri wa fedha mh mwigulu nchemba amekaririwa akitamka wazi kuwa serikali kwa sasa inakabiliwa na ukata wa fedha na hivyo kushindwa kuwaajiri walimu wapya kwa kuwa haina fedha za kuwalipa stahiki zao, pia kutokana na ukata huo wazabuni mbalimbali pamoja na makandarasi hawajalipwa...
  6. U

    Mpenzi wangu kanizidi umri

    Ndugu wana JF mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenzi wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyoni kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakini yeye halijui hilo maana nilimdanganya umri wangu kuwa tuko sawa na had sasa anaamin na mpango tulionao...
  7. U

    Uagizaji gari nje ya nchi

    Wakuu nahitaji kununua gari ya kutembelea kwa sasa kupitia kampuni za uuzaji wa magar hapa bongo lakin nimekuwa nikishawishiwa nisinunue hapa bongo bali niagize nje ya nchi kama japan na dubai lakin hawajanipa sababu zinazonifanya niridhike had nikubaliane nao kwa maana sijajua kuhusu garama...
  8. U

    Kati ya kiwanja na ng'ombe kipi kina maslahi zaidi?

    Wakuu mim nipo mwanza town na kama mjuavyo jiji la Mwanza ni kati ya majiji yanayokuwa kwa kasi sana nchini hivyo demand ya ardhi ni kubwa mno hali inayopelekea viwanja kupanda bei kila siku. Binafsi nina kama sh laki nane cash ninataka ninunue eneo pembezon mwa mji lakin pia kuna mtu...
  9. U

    Bodi ya mikopo elimu ya juu

    Wakuu mimi mmojawapo wa wahanga waliokosa mkopo mwaka jana 2013/2014 na hivyo kupelekea kuhairisha masomo kutokana na ukata lakin mwaka huu nimeamua niombe chuo upya ili niombe na mkopo tena lakin kinachonikatisha tamaa ni kuwa priority wanapewa fresh from school wakati mim naomba kupitia...
  10. U

    Chadema kushinda kalenga

    Wakuu kuna uwezekano mkubwa wa chadema kushinda katika jimbo la kalenga kutokana na ccm kumchagua mtoto wa marehemu dr mgimwa kuwa mrithi wa baba yake jambo lililopelekea ccm kuonekana kama chama cha familia. Mfano mzuri ni arumeru mashariki ambako mh nassari alichukua ushindi mapema kutokana...
Back
Top Bottom