Search results

  1. jlm

    Muda gani baada ya kutoa IUD naweza kupata ujauzito

    Habarini, Nahitaji kujua kama kuna mtu ana uelewa zaidi au experience ya ni muda gani ukitoa An intrauterine device (IUD au coil) au wengine wanaita loop, unaweza kupata ujauzito. Niliweka IUD ya copper about 4 years ago na nataka kuitoa, kama kuna mwenye experience ya hii msaada plz
  2. jlm

    Mwanamuziki Adele

    Adele ni moja kati ya wanamuziki wanaonibamba sana nikisikia nyimbo zake huwa zinavuta hisia.. ukianza na Someone like you, Rollin in the deep, Skyfall etc Alikuwa kimya kitambo lakini sasa hivi ametoka na Hello..imesha hit views almost 90m ndani ya siku tano kwenye you tube.Album yake mpya...
  3. jlm

    Strike back

    Ni Series nzuri kuangalia hasa wanaopenda mambo ya u-spy, intelligence agencies na kupigana.
  4. jlm

    SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    Its a very nice Series ipo based kwenye vitabu vya A Song of Ice and Fire; ni nzuri na dialogue yake ni bomba sana; inahusu mapambano ya familia (clans tofauti tofauti) wanagombania kuongoza Seven Kingdoms..., Mpaka sasa series imeingia episode ya nne na mwandishi ameshaandika vitabu sita; cha...
  5. jlm

    God gives us what we deserve...

    The saying is; God gives us what we deserve. It's a popular saying that people like to use but I'm curious about it. Does He, really? So if you have a bad husband, bad friends, family members, colleagues etc, it's because you deserve it? If bad things happen to you, it's because you deserve...
  6. jlm

    Maroon5

    https://www.youtube.com/watch?v=KRaWnd3LJfs&list=RDKRaWnd3LJfs Nawakubali sana.
  7. jlm

    Ni mbinu au?

    Habari zenu.. Kuna tabia fulani ya baadhi ya wanaume huwa siielewi, unakuta mtu labda ndo mmefahamiana either kikazi au socially lakini anakuwa serious anapokuona hata kama alikuwa anaongea au anacheka basi akikuona anachuna..hata ukimsalimia kama hataki mazoea vile sasa unakuwa huelewi huyu mtu...
  8. jlm

    50 Shades of Grey

    Jamani hii movie YA FIFTY SHADES OF GREY inatoka lini? cant wait
  9. jlm

    ana hasira za kuogopesha

    habarini za leo.. nipo njia panda yani nahitaji msaada wa mawazo na nadhani hapa nitapata. nilikuwa na bf wangu kwa kama miaka miwili hivi baadae nikagundua ananicheat basi nikaamua tuachane sababu sikuona sababu ya kuendelea nae. basi nikaamua niwe single hadi nitapompata wa kunifaa,basi...
  10. jlm

    Mirathi

    hello..natumai wote wazima naamini hapa kuna wataalamu wa mambo ya sheria na ushauri pia. kuna situation ambayo ipo hivi..kwenye familia imetokea kuwa baba ana mtoto wa nje ambaye alizaa kabla hajaoa. lakini baadae akaoa akawa na familia yake..imetokea baba kafa bila kuacha wosia..sasa je...
  11. jlm

    introduction

    hi..have been enjoying the jf articles for quite sometymz so i think its time to officially join in the club....hello everyone....
Back
Top Bottom