Search results

  1. love more than100

    Tuition nzuri kwa mtoto wa F1 Arusha mjini.

    Habari za humu wadau? Mimi ni mgeni humu ila shida hainaga ugeni wala adabu na huwa shida zina miguu so leo zimenilembelea. Naomba kujulishwa ilipo tuition nzr za wale walimu wa Ilboru sec, Ar sec, Kaloleni sec ambao wameshindwa kufundishia ktk shule walizopo kutokana na sheria mpy ya tuition...
  2. love more than100

    Makuubwa!

  3. love more than100

    Yaaniii. ...

  4. love more than100

    Titi la mama

    Aisee mi nimegundua hii kuwa TITI LA MAMA NI TAMU HATAKAMA NI LA MMBWA! Sijui wewe ukiangalia watoto wadogo/wachanga wa binadamu na wanyama sijui umekuwa makini kuona wanavyoijoiii...
  5. love more than100

    Sio kuwa Profiles picture unayowekwa whasapp na mumeo unapendwa

    Jamani sio kila anayewekwa profile na mumewe kwenye whatsapp nk ni kuwa anampenda... sometimes unatambulishwa kwa wake wenzio bila wewe kujijua basi unajiona unapeendwaaa...
  6. love more than100

    Kumeibuka wizi wa kutisha Arusha kwa kisingizio cha kupatiwa ajira

    Mkoani Arusha kama miezi 4 wanaotafuta ajira wamekumbwa na utapeli kwa kupigiwa simu kuambiwa kuna mtu namtafuta anaitwa Amina (jina sio sahihi na la kwako) ukisema simfahamu unaambiwa mbona aliandika hii namba au kabadlisha namba ama kulazimishwa umjue na ukiuliza shida nini unaambiwa kuna...
  7. love more than100

    Hospitali ya Mkoa wa Arusha (Mt. Meru)

    Habari za J3 natumai nyote muwazima, Kilichonileta leo kuandika mada hapa maana kwa asilimia kubwa huwa ni muangaliaji but leo nami nimepata cha kuja kuuliza humu kuhusu hospitali ya mkoa wangu ya Mt. Meru na nachouliza za kutaka ufafanuzi ni hii sera mpya iliyopo ya mwanamke kujifungua.Hii...
  8. love more than100

    Naomba kuongea na wewe kwa maandishi

    JE, FEDHA ZAKO ZA BANK ZIPO SALAMA? Jamani imenitokea mimi na hivyo iwe fundisho, angalizo na umakini kwa wengine. Account zetu za Bank hazipo salama hata kidogo. Majuzi nikiwa nimepozi na ndugu zangu huku tukiwa tunapata kinywaji, na Wenzetu maeneo mengine ya nchi wakisheherekea sikukuu ya...
  9. love more than100

    Naomba kuongea na wewe kwa maandishi (as a serrious issue)

    JE, FEDHA ZAKO ZA BANK ZIPO SALAMA?! NAOMBA KUZUNGUMZA NAWE... Jamani imenitokea mimi siku ya LEO na hivyo iwe fundisho, angalizo na umakini kwa wengine. Account zetu za Bank hazipo salama hata kidogo. majuzi nikiwa nimepozi na ndugu zangu huku tukiwa tunapata kinywaji, na Wenzetu maeneo...
  10. love more than100

    Dawa ya KEROID ni nini???

    Hellow members&drs! Poleni na majukumu ya kifamilia,binafs,serikali,chama nk. Am single lady of 30's najua wengine watashangaa but ndio hivyo.. by the way sicho nachotaka kukiombea msaada laah asha! Wapendwa shida yangu ni kuvimba popote ntakapoumia mimi ni shiiidaa lazima paumuke kama ni...
  11. love more than100

    Ni tanesco au escrow???

    Jamani mi mniambie tuu nini shida umeme tunakatiwa muda wooote wa mjadala bungeni na mchana wakiuacha kidogo ujue kwanzia ile lunch time ni mpk 4usiku ndio ujee. Hii ni Arusha hata yale maeneo tusiyojuaga mgao safari hii tunauona..
  12. love more than100

    Secretary natafuta ajira nipo Arusha

    Boss yeyote tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu. Nina uzoefu wa kazi karibu miaka 10 na nimefanya ktk stationary&NGO. Mshahara usiwe chini ya 400,000~350,00 hapo ukiwa ushatolewa makato ya serikali&NSSF. Muda wa kazi ni kama zilivyo sheria za ajira 8asb~10jioni. Overtime ikiwezekana...
  13. love more than100

    Arusha tunaogopa

    Jioni ya leo kumekua na mfululizo wa watu kublokiwa magari yao na watu wanaodhaniwa ni majambazi/wajitoa muhanga nk na kusababisha mauaji na majerui ya watu wa3 walioripotiwa polisi na matukio haya yamepishana kwa kila baada ya dk 30. Mmoja wa majerui aliyepigwa risasi kupitia dirisha la nyuma...
  14. love more than100

    Wanaume wanapenda kupikiwa vizuri

    Most of the man wanapenda kupikiwa chakula kizuri haswa na wake zao na wanajisikia raha zaidi kula chakula alichopika mke. Pia wanapenda usafi na uwekwaji mzuri wa mazingira safi kila saa 24/7 fo 365 of the year. Sasa ukute mke mvivu flani akipka ndio uuuuwiii ukila chakula unafanya kuchagua...
  15. love more than100

    Mbwa akutwa akila kichanga cha kizungu.

    Heelllosss wapenzi? Hope mko poa x ndioeee. Back to z topic for the 1st tyme. Maeneo ya yalipoanzia huduma za mission na uinjilisti kwa mkoa wa Arusha na ilibo shule ya wavulana wenye vipaji maalumu (bg IQ)na seheme pekee yenye wazungu wengi wastahrabu na wasiopenda bugdha na wapendaou...
Back
Top Bottom