Search results

  1. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    Carepoint Lodge, ni lodge mpya ya kisasa inayotegemea kuanza biashara mwezi September 2020 maeneo ya Madale, Dar es salaam. Lodge itakuwa na vyumba takribani 15 ikikamilika. Tunahitaji wafanyakazi wafuatao: 1)Mapokezi (Front Office staff,): uwe na uwezo wa kuhudumia vema wateja (customer...
  2. kanyagio

    Napata wapi vyuma vya kutengeneza jukwaa kupiga wakati wa kupiga plasta?

    Nauliza vyuma vya kutengenezea jukwaa kuweka wakati wa kupiga plaster. Navipata wapi na Sh ngapi. Mfano kama huu chini:
  3. kanyagio

    Data collection opportunity Dar es salaam

    We are searching data collectors for upcoming study in Dar es salaam. Key points to observe: 1). Data collection will happen in Dar es salaam at selected health facilities Temeke, Ilala and Kigamboni starting from october 2019 2). You will interview youth clients after getting services at health...
  4. kanyagio

    Maternal & Child Health Researchers are needed

    RESEARCHERS with Maternal and Child Health Experience are Needed DAMAX Solutions is a research organization (based in Dar es salaam) that provides end-to-end research services and solutions customized to meet our clients' unique needs. We help our clients and partners answer important questions...
  5. kanyagio

    Driver wa Uber/Taxify Dar anahitajika

    Habari, Anatafutwa driver wa kuendesha gari IST kama uber na Taxify. Mmiliki wa gari yupo Tegeta: 1). Driver awe na leseni halali 2) anaweza kuwa mwanamke au mwanamke 3). Awe anaishi maeneo ya mbezi beach, Tegeta, Kunduchi, Salasala, Madale, wazo, Boko, Mbweni, Bunju na maeneo mengine ta uelekeo...
  6. kanyagio

    Researchers (Qualitative and Quantitative)

    Talented individuals are a great asset at DAMAX Solutions. We are always looking for competent, reliable and self-driven team players. Browse our open short-term consulting/contract positions below. You can send us your CV so that we can have you in our DATABASE. In your cover letter, tell us...
  7. kanyagio

    Kiwanja pembezoni mwa barabara cha biashara

    Wapendwa, Kinahitajika kiwanja kinacho face barabara ya lami hapa Dar es salaam. Ukubwa ni wowote Ila ni vema kuwe na mpaka unaojulikana wa barabara ili kuepuka kubomolewa. Bajeti iliyopo ni 20m.
  8. kanyagio

    Biashara ya Fuel Filling station

    Wadau wenye kufahamu. Je katika kuanzisha Fuel filling station kubwa maeneo ya mjini kama Dar es salaam, Je kuna kigezo cha umbali kati kituo kimoja cha mafuta kwenda kingine vilivyo upande mmoja wa barabara.Kama kipo ni umbali gani? Hapa namaanisha kama kama kuna hiki kigezo kipya maana siku...
  9. kanyagio

    Kiwanja kinahitajika Tegeta, wazo, Goba n.k. bajeti 6-15m

    Habari jukwaa natafuta kiwanja pande za Tegeta, Salasala, mivumoni, madale, boko, kunduchi,na maeneo mengine ya dar kisiwe mbali sana na main road bajeti 6-15m ukubwa si chini ya 600 sq.meter tuwasiliane hapa,pm or nat867@gmail.com
  10. kanyagio

    Matokeo ya hisa za Vodacom yatatoka lini?

    Ndugu za jioni. Uuzaji wa awali wa hisa #vodacom umeshafungwa. Ningependa kujua matokeo ya ununuzi wa hisa hizi yatatoka lini
  11. kanyagio

    Kiwanja/sehemu ya kujenga fremu inahitajika

    Kuna mtu anatafuta kiwanja/sehemu ya kujenga fremu. Sehemu iwe kando ya barabara kubwa. Mkoa wa Dar es salaam anapendelea ukanda wa mbezi, tegeta, boko, bunju, madale, goba, ilala,kimara, mbezi etc. Ila kamq sehemu, ni nzr anaweza nunua popote Dar. Sehemu yenye watu wengi au ina uelekeo wa kuwa...
  12. kanyagio

    Jomak primary school, nani anaijua?

    Goodmorning. Kuna mtu anafahamu shule inaitwa Jomak Primary iliyopo wilaya ya Kinondoni? If yes je ni nzuri? Location? contact? I cant get it on google.
  13. kanyagio

    Vodacom Shares zitauzika DSE?

    Vodacom is to issue shares worth up to Sh500 billion in its planned initial public offer (IPO) - the highest in the history of IPOs in Tanzania. Sasa ndugu wataalam wa DSE shares naomba tujadili kidogo. Kwa hali ya biashara ilivyo, je zitapata soko? Ninatamani kununua lakini taarifa za...
  14. kanyagio

    TTCIA ipo na shares?

    Naomba mwenye ufahamu wa hii is it worth it? ≠====== TCCIA Investment Company envisages to raise 45bn/- through initial public offer in six months beginning February 1st. Je TTCIA ni potential?
  15. kanyagio

    Fee ya kumlipa DSE brokers/ Dalali wa hisa..

    Dear all, Salamu. Naomba mwenye ufahamu anijuze kwa sababu nataka kuanza kununua Hisa pale DSE (including IPO) pia kununua Treasury bonds. hivi hawa brokers huwa wanatoza fee kiasi gani? Je wanatoza fee kulingana na hisa unazonunua au wana flat annual rate au wanatoza kulingana na hisa...
  16. kanyagio

    Mtoa huduma ya dawa kwenye Pharmacy anahitajika

    CareP Retail pharmacy ipo Tegeta, Dar tunatafuta mtoa huduma ya kusikiliza na kuhudumia wateja ikiwemo kutoa dawa kulingana na mahitaji ya mgonjwa/mteja (kulingana miongozo ya utoaji sahihi ya dawa). Vigezo na sifa: Uwe umesomea angalau muuguzi msaidizi, mtoa dawa msaidizi, pharmaceutical...
  17. kanyagio

    Upandaji miti Dar 1st Oktoba. tunaomba uelekeo

    Tulitangaziwa kuwa tarehe moja oktoba wana Dar es salaam ni siku ya kupanda miti. Majembe tunayo mgongoni ila tunaomba miche, eneo na maji ya kumwagilia ili tufanikishe zoezi. Tunaomba uelekeo na utaratibu. Tupo tayari kuunga mkono agizo la RC wetu. Miche, ardhi na maji!!!!!!
  18. kanyagio

    Drug dispenser (pharmacy staff needed)

    Community retail pharmacy ipo Tegeta kibaoni. Tunatafuta drug dispenser/ nurse assistant mwenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Pharmacy. Ni muhimu uwe na vyeti vya elimu vitakavyokuwezesha kufanta kazi pharmacy. Piga simu 0659670486 au email nat867@gmail.com Care pharmacy
  19. kanyagio

    Natafuta Android 5.1 tablets dar es salaam

    Natafuta Android 5.1 tablets brand nzuri.Nahitaji kama 15 in total with good memory. where can I get genuine tablets and at what price. I'm reached at damax@gmx.com or nat867@gmail.com
  20. kanyagio

    Kiwanja maeneo ya bagamoyo mjini

    Kiwanja maeneo ya mjini Bagamoyo kinatafutwa. Ukubwa kwenye 1000 sqm Na kundelea. Nitashukuru kupokea various options zilizopo. Ahsante.
Back
Top Bottom