Search results

  1. W

    Wapita njia warukishwa kichurachura Posta Kawe!

    Jamani kuna siku nilidokeza kuhusiana na eneo la Posta Kawe kuendelea kuzuiliwa na Jeshi baada ya Londa kuingia na kulisawazisha bila kuitaarifu kambi la Lugalo. Sasa eneo hilo limekuwa hatari kwa wasiofahamu kinachoendelea, kwani wamekuwa wakirukishwa kichurachura, kupigishwa magoti na...
  2. W

    Enzi zetu za shule

    Yaani siwezi sema sana jamani, nahisi kama leo nimerudi kwenye maisha yangu ya utoto kabisa aah wapi mwalimu Madirisha, huyu alikuwa akipenda sana kujificha dirishani kuchungulia wanafunzi wanaotoroka ama kuchelewa kuingia darasani. alikuwa na shati lake la mikono mirefu jekundu, akilikunja...
  3. W

    Enzi zetu za shule

    Aisee yaani nami umernikumbusha mbali sana, maana nikiwa shule moja ya msingi kule Morogoro Vijijini kuna mwalimu alifahamika sana kwa jina la utani 'Kikoti' . Jina hilo lilitokana na tabia yake ya kuvaa koti iwe siku ya mvua. joto ama baridi yeye ilikuwa na koti tu. Basi bora hilo koti...
  4. W

    Major General Mkisi Hatunaye Tena

    Poleni wafiwa wote na Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi
  5. W

    Prof. Baregu aula SAUT

    Tunakutakia mafanikio mema mpambanaji
  6. W

    Londa awachonganisha wakazi wa Kawe na wanajeshi

    Hili la uganga hata silishangai, jamaa maarufu kwa visomo pale kwake. Hata Jumamosi usiku kulikuwa na kisomo na dua. Ingawa baadhi ya watu wa Kawe nasikia wamestuka na kususia kwenda, mheshimiwa amekuwa akiwachukua wahudhuriaji kutoka mafia kwa kia ili kusherehesha shughuli yake.
  7. W

    Londa awachonganisha wakazi wa Kawe na wanajeshi

    Mwishoni mwa wiki iliyopita Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Salum Londa alijichukulia hatua mikononi na kwenda kulisawazisha eneo la jeshi pale Kawe Posta ili kuwapa unafuu wakazi wanaokatisha eneo hilo kuja Kawe ama kwenda Mbezi. Lakini kitendo hicho kilichotafsiriwa na wengi kama mchakato...
  8. W

    Alan Turner wa executive solutions afariki dunia

    RIP Alan Turner, Mbele yetu nyuma yake wote tupo safarini, poleni wafiwa!
  9. W

    Mti ufukuzao mbu

    Kama kweli upo basi unafaa katika kipindi hiki cha joto, maana jinsi joto linavyozinga na kutamba vyumbani ni tabu tupu. Kwa jamii za walalahoi pengine utakuwa heri maana wanaendelea kuumia kwa joto kwa kutumia net kwa kuhofia malaria. Ukienea utakuwa faraja kwani utasaidia kupunguza...
  10. W

    Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

    Aisee pole ndugu yangu, ndio maana mpaka leo kutokana na matukio kama hayo baadhi ya watu hawataki kabisa kusikia neno kuoa. Inatia uchungu sana ndugu hasa unapotafakari massage hiyo. Lakini kwa upande mwingine tusipende sana kuwekeza kwenye nyumba ndogo 'vidumu', huwa vinachangia kuwa wazito...
  11. W

    Bagamoyo ni Yamoussoukro ya Tanzania

    Mkakati huo haukuanzia tu Bagamoyo, bali hata katika njia inayoelekea kwake Mikocheni ukitokea upande wa Old Bgamoyo road na hata kwa kule barabara ya New Old Bagamoyo road. Naona na sasa wamekumbuka kuitenmgeneza ile inayoingia kwa rais mzee Ruksa kutokea upande wa Old Bagamoyo na ile ya...
Back
Top Bottom