Miongoni mwa madereva tunaopata changamoto kubwa ni tunaotumia barabara inayoanzia Tembo Road hadi kiwanda cha Serengeti Breweries Ltd (SBL) kupitia FM Foundation Pre and Primary School. Barabara imeharibika sana na kipindi cha mvua haipitiki na magari yanakwama.
Mwanzoni tulikuwa tunachepukia...
Tukio la Askofu Pius Ikongo kutekwa na watu wenye silaha aina ya bastola wakiwa na magari mawili na kufunikwa na kitambaa chenye sumu na kupata madhara makubwa mwilini linasikitisha sana.
Kinachoumiza ni kutokamatwa wala kuhojiwa kwa watesi wake licha ya kuwatambua na kuwataja kwa majina...
Leo asubuhi nimehamisha fedha kwa simbanking kutoka CRDB kwenda Mpesa lakini mpaka ninavyoandika hapa hazijaingia Mpesa lakini CRDB zilishakatwa. Ukipiga100 custormer care wahudumu hawapokei. Kweli ndio mnavyofanya biashara? Kila ukitaka kuangalia balance ya Mpesa inakuletea ujumbe "Samahani...
Nimesoma gazeti la Mwananchi la leo kwamba pamoja na mmiliki kushinda kesi na kutakiwa kuendelea na biashara zake, polisi hawampi ushirikiano ili arudi katika eneo lake licha ya kwamba eneo lote la baa limevunjwa. Nani yuko nyuma ya hili jambo...
NEWS UPDATES
Mwanamke mwingine mkazi wa Kiboriloni katika Manispaa ya Moshi,Sophia Kimaro (28) amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kusafirisha kilo 12:5 za Mirungi, kosa alilolitenda tarehe 4.12.2014. Alikamatwa eneo la Njoro ya Dobi Moshi akisafirisha mirungi kwenda kuiuza. Hukumu...
Leo niliingia mahakama Kuu Moshi katika usikilizaji wa kesi ya mauaji ya kukusudia ya mwanafunzi wa shule ya Scolastica inayowakabili watu watatu akiwemo mmiliki wa shule, Bwana Edward Shayo. Mimi niliingia kama msikilizaji wa kawaida ila nilichokisikia nimejiuliza mara mbilimbili ni kitu gani...
Ninajiuliza sana sipati jibu. Inakuwaje usafirishaji wa dawa za kulevya aina ya Mirungi unafanyika mchana kweupe pasipo polisi kuchukua hatua?
Crime buster wa mkoa no RCO na amezungukwa ni kitengo CH intelijensia, hivi wameshindwa kuju mafurushi haya ya mirungi yanayotoka Kenya yanaelekea...
Kesi ya mauaji ya kukusudia ya mwanafunzi wa shule ya Scolastica ya Himo Moshi, inayomkabili mmilliki wa shule hiyo, Edward Shayo, mwalimu wa nidhamu na Mlinzi wa shule hiyo itaanza kusililizwa rasmi mfululizo na Jaji kutokana Mahakama ya Rushwa na Uhujumu uchumi.
Kusoma habari hii kwa kina na...
Jana tarehe 19.01.2019 nikiwa maneo ya KDC Moshi, meta 100 tu kutoka ilipo Ikulu ndogo ya Moshi, lilipita kundi la vijana zaidi ya 16 wakiwa katika pikipiki nane wakienda mwendo wa kasi huku wakiwa na mapanga.
Katikati ya pikipiki hizo, zilikuwamo pikipiki mbili zilizokuwa zimebeba maboks...
Mbunge wa Moshi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mzee Philemon Ndesamburo ameamua kupeleka hoja binafsi katika Bunge la Bajeti baada ya Polisi kuwakingia kifua wafanyabiashara matajiri wanne wa Jiji la Mwanza wanaotuhumiwa kumuua kikatili kijana mmoja aitwaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.