mchwa mpaka
Member
- Nov 18, 2009
- 35
- 70
Ninajiuliza sana sipati jibu. Inakuwaje usafirishaji wa dawa za kulevya aina ya Mirungi unafanyika mchana kweupe pasipo polisi kuchukua hatua?
Crime buster wa mkoa no RCO na amezungukwa ni kitengo CH intelijensia, hivi wameshindwa kuju mafurushi haya ya mirungi yanayotoka Kenya yanaelekea nyumba gani hapo Moshi mjini?
Huko Chekereni, Mabogini, Pasua Matindigani na Bomambuzi ni nani wahusika wakuuu?
Hivi Intelijensia yako ni mikutano ya vyama vya upinzani tu? Au mko kwenye payroll? RCO na timu yake inaonekana viatu haviwatoshi. Wajitafakari