Search results

  1. Am only

    Msada juu ya elimu yangu jamani

    Hlw wana jf wa jukwaa hili, mimi ni muhitimu wa kdto cha 6 mwaka huu, nmefaulu na kuchaguliwa kujiunga na chuo cha IFM dar cause ya banking and finance. Nlikua nategemea bodi ya mikopo ila nmekosa mpaka lot ya 4 na familia kiukwel haiwez kunisomesha kwan mpaka sasa najitegemea mwenyewe kwa kila...
Back
Top Bottom