Search results

  1. S

    management accounts reports in excel templates

    Msaada jamani mtu anayeweza kunipa template hizo zenye link kati ya worksheets mbalimbali. Asante
  2. S

    Natafuta Mume

    Nimechoka na maisha ya upweke natafuta mpenzi kisha tukielewana tuwe mke na mume. nina miaka 28 naishi Dar maeneo ya mbezi beach . kwa aliye serious naomba tuwasiliane namba 0718810898
  3. S

    Natafuta Mume

    Nimechoka na maisha ya upweke natafuta mpenzi kisha tukielewana tuwe mke na mume. nina miaka 28 naishi Dar maeneo ya mbezi beach
  4. S

    Natafuta vifaa vya umeme

    Nataka kufanya installation /wiring kwenye nyumba natafuta shemu wapouza viffa vya wiring kwa bei poa.
  5. S

    Tatizo la Mirija ya Uzazi kuziba: Changamoto na tiba yake

    Wana Jf tafadhari naomba kama kunamtu anajua dawa ya kuzibua mirija ya uzazi , kwani nimepima hospitali wamesema mirija imeziba siwezi kupata ujauzito.
  6. S

    Mapishi ya mbege

    Jamani naomba mwenye kujua namna ya kupika mbege anielekeze tafadhari
  7. S

    Mtoto na mpenzi

    Mama mmoja aliachana na mume wake muda kama miaka 12 hivi iliopita, baadae akapata bwana ambaye walikuwa wanakaa mbalimbali, ingawa alikuwa walikuwa wanatembeleana na mara nyingine analala hapo kwa mwanamke na mwanamke anaenda kwa bwana. Sasa wameamua kufanya mipango ya kufunga ndoa ili waishi...
  8. S

    Nimeumizwa sana naomba faraja yenu

    Habari zenu wana jf. Mchumba wangu nimemfumania na mwanamke mwengine na kwa hasira nikagombana na huyo mchmba wangu, pia niakenda kumwambia huyo mwanamke amwache mchumba wangu. Lakini mwanaume akasema mimi siwezi mwacha huyo mwanamke kwani nampenda. Nikaamua kuondoka zangu lakini roho inaniuma...
  9. S

    Natafuta computer dell desktop

    Natafuta computer desktop iliyotumika (used) mwenye nayo naomba nijulishe
  10. S

    Kukwepa kutumia miwani

    Hivi jamani kuna dawa ya kusafisha macho yaweze kuona vizuri hasa mbali bila kutumia miwani.
  11. S

    Architecture/Landscaping anatafutwa

    Hamjambo wana JF. Natafuta architecture wa ku-design nyumba na kutoa michoro ya nyumba. Naomba tuwasiliane.
  12. S

    Naomba Kujiunga Nanyi

    Hello wana Jamii. Mimi naitwa simplelady, napenda kujiunga kwenye forum yenu. Napenda kuwafahamu na pia kujua taratibu za humu ndani. Ahsante
Back
Top Bottom