lakini umeandika kwa dhihaka, kama vile Wazanzibari hawafanyi kazi, wanacheza dhumna tangu asubuhi na kusubiri kudura ya Mungu kupata chakula, kitu ambacho siyo kweli.
Ungekwenda nje ya mji ukaona watu wanavyoshughulika tangu asubuhi mpaka jioni kwenye kilimo, uvuvi na mambo mengine.
Siyo kwamba hatutaki muungano lakini hebu kwanza jiulize yafuatayo:
- kwa nini muungano ulitokea fasta fasta bila hata majadiliano ya kueleweka? Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea Januari 11 usiku, muungano umefanyika April 26 (siku ya kusaini) - ni kama siku 104 tu baada ya mapinduzi wakati hata...
Ila kwa soko la hisa la kwetu, mh! bora ninyamaze.
Nimeweka fedha zangu nyingi kidogo kwenye Voda, mpaka leo wameingia mitini hatupati kitu, wala hatuwezi kuziuza hizo hisa, tumebaki njia panda.
Natamani hata fedha yangu ningeinunulia kuku au samaki nikala nikashiba mwenyewe,
bandari nono imekwenda wapi, na nani aliyesababisha iwe hivyo? huo upagani sijui athari yake inakuwa nini siwezi kutoa comment kwa hilo. Ongezeko hilo la population limesababishwa na nani? Na hiyo karafuu ni kweli haina thamani? Labda tujiulize kwa nini wenzetu akina Mauritius wanaweza sisi...
kawaulize wale akina mama wanaoendesha magari makubwa ya mafuta, je wamewezaje?
Kwanza sijui nani amekwambia kuwa mwanamke akiwa kwenye siku zake basi tumbo hukoroga na kuvuruga. Kila mtu anareact kivyake vyake na kuna wengine hata hawana habari kwa siku kufika.
Usichanganye vitu ukaweka wote...
ukoloni mamboleo tu unakusumbua. Hivi wachina, wajapani wanaopiga kazi kwa lugha zao kuna shida gani?
Halafu siku hizi kuna apps ambazo zinatafsiri kutoka lugha moja kwenda nyingine, tatizo ni nini sasa?
namshangaa huyu mpenda misaada ya bure. Hivi Zanzibar kabla ya 1964 ilikuwa inaishi vipi? Au hivyo visiwa vingi tu vinavyojitegemea wenyewe vinajiendesha vipi?
Na akumbuke tu kuwa Zanzibar ilikuwa mbele zaidi kielimu na kimaendeleo kabla ya muungano.
umejuaje kama alishindwa kumshauri Mwenyekiti? Mtu akishauriwa anaweza kuupokea ushauri au la, kwa hivyo hiyo imebaki kama ni theory tu, na hasa kwamba uamuzi siyo wa mtu mmoja peke yake hata kama alikuwa Waziri.
sijui ulipokuwa unaandika hii ulikuwa usingizini au vipi kijana wa zamani? Ati tumewatawalaje sasa, kwani Zanzibar ina uwezo wa kuchagua raisi, si huwa wanachaguliwa na nyinyi wabara au umesahau?
Hiyo misitu yenu na mashamba makubwa na kila aina za madini mbona munalia njaa na bado ni moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.