Search results

  1. W

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    mkuu strawberry ni mimea ya aina ipi?????? toa ufafanuzi tafadhali, huenda nimeukalia uchumi!!!
  2. W

    NI SAHIHI WAFRICA KUITWA MASIKINI NA WASIOJIWEZA WAKATI WATU WANAFANYA KAZI USIKU NA MCHANA?

    kweli mkuu!!! waafrika tumenyimwa elimu na elimu ya kujitambua sisi ni nani tunaenda wapi tutafikaje tuendako
  3. W

    Wafahamu kwa picha Wapiga kura wa CCM Zenji

    this is only in Tanzania
  4. W

    Your computer need to be cleaned

    wakuu habari za saa hizi? naomba msaada pc yangu inashindwa kuingia kwenye accout yangu ya facebook lakini nikijaribu account nyingine za facebook tofauti na yangu inakubali kama kawaida lakini kwenye accout yangu kila nikijaribu ku LOGIN inagoma na kuandika ujumbe ufuatao ''Your Computer Needs...
  5. W

    Baadhi ya Vyuo Vikuu vinazalisha Wasomi bomu

    Hawa jamaa wengi wanabebwa na status, ila hawajiamini kabisa! Ukimbana umweke kwenue kona atakwambia mie UDSM bhana. fikiri kabla kuposti na kushabikia ujinga ukiambiwa leta ushahidi unaanza kuropoka!! chunga sana upumbavu wako unakupeleka kusiko!!
  6. W

    Katibu Mkuu Kiongozi ni cheo kilicho juu ya fikra za udini

    kweli mkuu!!!!!! wanalalamika sana hawa watu cjui wanatka akiajiliwa mkristo na muisilamu awepo???
  7. W

    UKAWA waita Wahariri, waahirisha ghafla na kuomba radhi

    :teeth::teeth::A S angry:
  8. W

    jinsi ya kurudisha data kwenye smartphone

    Kama heading inavyojieleza naomba msaada wenu watalamu!! Kwan niliacha simu yangu nikakuta imechezewa contacts picha n.k hazipo Nawasilisha kwa msaada wenu WATALAAM! Nb: Natumia simu aina ya huawei!
  9. W

    EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta (Januari 06, 2015)

    Wee bibi unatumika vibaya sana! Jaribu kua mkweli maana kweli itakuweka huru! Sio kutetea upuuzi na upumbavu (wizi ,ufisadi,ujambazi,&uhujumu uchumi)tu!
Back
Top Bottom