Search results

  1. S

    Nahitaji Typist kwenye Secretarial Bureau

    Kazi zilizopo ni: Kupokea kazi kutoka kwa wateja kuzichapa na kuprint (Sifa: Uwe na uwezo wa kutype at least maneno 80 kwa dk. Kuuza stationaries dukani Kutumia mpesa,tigo pesa, n.k Kazi zote za Secretarial Bureau mfano kufanya binding na lamination Sifa: Uwe na uwezo wa kuchapa kwa speed...
  2. S

    Mapenzi ya mume wa mtu yamemchanganya ukubwani anaomba mumshauri

    Jamani kuna mdada hapa amechanganyikiwa eti anampenda sana huyo mume wa mtu mpaka ameanza kama kuchanganyikiwa.Anataka amuone kila wakati. Usiku anashindwa kupata usingizi, anashindwa kufanya kazi kwa ujumla eti anamuwaza muda wote. Anaomba ushauriafanyeje amefunguka kwangu na nimejaribu...
  3. S

    Tangazo la kazi ya Typist/Secretary

    Nahitaji mtu kwa ajili ya kufanya kazi kwenye Secretarial Bureau.Awe amemaliza Kidato cha nne na awe na uzoefu wa kutype kwa speed. Duka lipo maeneo Karibu na Mlimani City. No. ya simu ni 0754 292 731. Mwisho wa tangazo ni Ijumaa28th February 2015.
  4. S

    Suzuki Grand Vitara Inauzwa

    Ni ya mwaka: 2000 rangi: bluu. Bei: 12,000,000/= Picha imeambatanishwa Karibu contact: 0754 29 2 731
  5. S

    Thebible and the diamond ring

    THE BIBLE AND THE DIAMOND RING A married lady was expecting a birthday gift from her husband. For many months she had admired a beautiful diamond ring in a showroom, and knowing her husband could afford it, she told him that was all she wanted. As her birthday approached, this lady...
  6. S

    Natafuta Kiwanja Maeneo ya Boko,Tegeta,Mbweni

    Budget yangu ni 20million mwenye nacho anipigie no. 0715 29 27 31 Kiwe na hati
  7. S

    Nyumba inauzwa Mwanza - Block G Nyamanoro - Kilimahewa

    Iko mwanza maeneo ya Kilimahewa Ni maeneo ya 'Big bite' yanapogeuzia mabasi mbele kidogo. Nyumba haijaisha kama inayvoonekana kwenye picha Ina sebule,dinning room,jiko,stoo,na 4 bedrooms kimoja master eneo lina Sqm 700 iko Block G Nyamanoro - Kilimahewa pia ina eneo la ziada nyuma. Nauza mimi...
  8. S

    Nafasi ya kazi kwenye Secretarial Bureau

    Nahitaji typist awe na uwezo wa kutumia computer na vifaa kama photocopier, fax, binding machine etc.Awe amepitia mafunzo ya Typing na amesoma aplications za computer kama vile Ms word, Ms excel, Ms publisher etcAwe amefanya kazi kwenye Secretarial Bureau kwa muda wa miezi sita na kuendelea...
  9. S

    Nyumba Inauzwa Nyamanoro - Kilimahewa (Block G) - Mwanza

    Kama unahitaji nipigie 0715292731 ili kupata maelezo zaidi na picha. Inatakiwa kufanyiwa finishing.
  10. S

    Kiwanja - Mbweni

    Tunahitaji kiwanja maeneo ya Mbweni au Boko. Call Number: 0715 29 2731 Dalali hatakiwi.
Back
Top Bottom