Nyumba Inauzwa Nyamanoro - Kilimahewa (Block G) - Mwanza

Strategizt

Senior Member
Oct 16, 2009
180
33
Kama unahitaji nipigie 0715292731 ili kupata maelezo zaidi na picha. Inatakiwa kufanyiwa finishing.
 
Nyamanoro ipi?
Kawekamo, mtaa wa simba, mitaa ya stand, sokoni,shule, suleiman nassor, jirani ya pasiansi au Nyamanoro ipi?
 
Ni eneo la Kilimahewa yanapogeuzia mabasi mbele kidogo mkuu. {Bigbite}

Nyamanoro ipi?
Kawekamo, mtaa wa simba, mitaa ya stand, sokoni,shule, suleiman nassor, jirani ya pasiansi au Nyamanoro ipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom