Kwani baada ya kukosa pesa za MCC unaionaje mirafi ya REA. Kwetu REA. III ilikuwa ikamilike 2017 April. Leo hata alama za nguzo zilishaliwa na mchwa na hakuna kiongozi yeyote anathibutu kuzungumzia kilichotokea.
Elitwege,
Wanaomtaka Ndalichako ni wanaccm wenzako na siyo wananchi wa Kigoma kama unavyodai. Wananchi halisi wa Kigoma wanajitambua na hawawezi kuwa mawakala wa chama cha wabakaji wa demokrasia na haki za kiraia.
Rais angekuwa serious kama.badala ya kuwaagiza TCRA wafunge line ifikapo 21/01/2020, angeanza kuwaagiza Nida wahakikishe ama wametoa vitambulisho vyote ama namba kabla ya tarehe hiyo. Nimetoka Nida wilaya yangu, nikaambiwa kwamba niwe tu mpole kwa sababu ndio kwanza wanamalizia kupiga picha na...
Uko sahihi. Wapo pia wafia chama japo pia walio serious ila wanabezwa. QUOTE="Masanva Aya, post: 32864294, member: 381268"]
Mimi nimeanza kujua maana ya TISS miaka ya hapa baada ya Baba wa taifa kututoka, kabla ya hapo, hawa watu huwajui ila wapo, na cha ajabu siku hizi wanatajwa hadharani na...
[Sina uhakika kama kuna tamko rasmi LA chama dhidi ya mkutano wa Jpm na viongozi wa dini. Nilichokiona mm ni reaction ya wachsngiaji. Ambacho kwa kweli ni kitu chema kwa viongozi wa wanaopenda kujitathmini.="Per Diem, post: 30144195, member: 482519"]Naona wote mmeingia mtego mmoja! Hivyo ni...
Kusems tu.binge ni dhaifu katika professionalism haina maana ya.kulidharau bunge. Ni tafsiri ya jinsi linavyotekeleza wajibu wake katika kuisimamia serikali na matumizi ya umma
Jamaa yangu mwenye simu ya airtyel 078... simu yake tarehe 16/8/2016 iliingiliwa na wahalifu wakitumia particulars za usajili walizozipata kwa njia ya kihalifu.
Wakaitumia simu hiyo kwa uhalifu kwa kutaka kuibiwa watu. Haijulikana walifanikiwa kwa kiasi gani. Lakini siku mbili baadaye watu wa...
Mungu yupo. Mwenyewe niliacha kupeleka shauri langu huko baada ya kutonywa na mtu wangu kwamba .walikuwa wamepewa maelekezo ya kutonitendea haki. Nilimwachia Mungu.
Maombi huwa hayawezi kupigwa marufuku na mtu yeyote. Nsona kama mnaanza kuwasingizia hao polisi. Kama kweli wanaweza kufanya hivyo, itakuwa hakika wamechanganyikiwa. Dua ya mtu ni kati yake na mwenyezi Mungu. Hayahitaji ruhusa ya yeyote
Wasalii waliotarajia ujiko wa kukabidhiwa zawadi ya usaliti (kadi za ccm) wao, wamegonga mwamba baada ya kuelekezwa kukabidhiwa kadi hizo na wenyeviti wa ccm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.