Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,824
- 71,277
Mapambano mazuri ya siasa ni kwa hoja na sio risasi na vitimbi.
Tunaingia mwaka mgumu sana katika mustakabali wa nchi juu ya ulinzi wa demokrasia na amani kupitia Uchaguzi mkuu wa 2020.
Ili kujua mwenendo wa safari hiyo ni vyema watendaji wakuu wa vyama hasa kile tawala na chama kikuu cha upinzani wakaandaliwa mgahalo kupitia waandaaji makini ili tuweze kupima mwenendo mzima katika ukweli na uwazi.
Chama chochote kikisha sajiliwa ni mali ya wananchi hivyo ni jambo jema kiwe wazi kwa wananchi na hatutegemei kuna kitakacho kataa wito wa mdahalo huo.
Jee nani mahiri katika siasa za Ukweli za Tanzania? Ni Dr Bashiru Kakulu wa CCM au John Mnyika wa Chadema?
Hiyo mechi ni ya kudhaminiwa na Sportpesa kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app