Search results

  1. K

    Moshi mbaya wa magari ya diesel

    Daladala nyingi zinatoa moshi mbaya sana wa unburnt diesel fuel. Sijui kama wana mazingira na afya wanalijua hili. Ni adhabu na hatari kuwa nyuma au pembeni mwa daladala uwapo kwenye foleni.
  2. K

    Serikali ondoeni matochi barabarani magari yaende, abiria tunachoka na kukereka

    Kwakweli hii issue ya ma traffic kuvizia magari na tochi inakera sana. Eti wanadai kwenye maeneo ya makazi utembee na speed 50KPH, basi wazihamishe high ways ziende mbali na makazi sababu kila siku makazi yanaongezeka na hivyo basi ipo siku tutaambiwa tutoke mwanza hadi dar kwa speed 50kph...
  3. K

    Hii ndo TZ ya leo

    Soma hii habari uone jinsi TZ ya leo ilivyokosa connection between the three pillars of a government that is, Parliament, Judiciary and Civil servant (bunge, mahakama na serikali kuu au utumishi wa umma) This is real sad to see we are living in a less patriotic country like Tanzania, anyway...
  4. K

    Miliki bunifu, changamoto kwa wanateknolojia tanzania

    Kwanza napenda kutoa shukrani zangu nyingi kwa juhudi zilizofanywa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) pamoja na Wakala wa Usajili biashara na Utoaji leseni (BRELA) kwa kushirikiana na Shirika la Miliki Bunifu duniani (WIPO) kwa kuanzisha Kituo cha Utoaji Huduma za Ushauri na Taarifa za...
Back
Top Bottom